Huwa najiuliza kwa nini visa vingi vya aliens tunavipata kwa nchi za wazungu sana ila huku africa recently sijawahi kuona watu wanasema wameona UFOs.

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,375
Reaction score
28,484
Screenshot_20260123_111901_Instagram~2.jpg
 
Yaani wewe, sema hujaamua tu kufanya utafiti wa hayo mambo ndani ya bara la Africa ila evidence zipo nyingi tu ukianzia na Zimbabwe. Sikwambii bali nataka uchekeche ubongo wako ili ufunguke kwenye hayo mambo
 
Ya zimbabwe naijua vizuri ile ya wanafunzi miaka mingi imepita

Ndio maana nikasema recently
 
Ni kama wazungu wanatuchezea akili, unakuta mtu ni profesa wa mambo ya UFO , hizo tafiti kufanyia wapi?!
 
Alafu video zao hazieleweki eleweki
Anyway kuna mwmaba alisema ni kama huwa wanafata nuclear energu sasa huku hatuna
 
Ni kama wazungu wanatuchezea akili, unakuta mtu ni profesa wa mambo ya UFO , hizo tafiti kufanyia wapi?!
Mbona video kibao sana ndugu yangu
Tafuta picha ndege ya jeshi la anga la uingereza likiifuata air space ship ya alien
 
Back
Top Bottom