Huu Wimbo wa "Kuchapiwa ni SIRI ya Ndani"

Huu Wimbo wa "Kuchapiwa ni SIRI ya Ndani"

you are right my dear! wamechukizwa na neno kuchapiwa ni siri ya ndani, maana wanaogopa sana hiyo kitu ya kuchapiwa.
kama ni maadili, kuna nyimbo nyingi zipo nje ya maadili, pengine kuliko hata huu

ila pia ukiangalia kwa maisha ya zamani, ni kweli hakukuwa na maugomvi watu hawana mtoto, hayo mambo yalikuwa yanamalizwa kwa kwenda kuchuma dawa kwa mganga tu, tena mume ndio anampeleka mkewe, afu mke na mganga wanaenda chimba dawa wanakaa kama wiki/ mwezi porini wakirudi huko mama mjamzito

Halafu mbaya zaidi kwa kuwa diamond alichapa mke wa mtu, (which l honestly don't approve) so anakuwa kama anawananga hivi.

Lkn as u said, wimbo wafundisha busara ya uvumilivu na usiri in today's dotcom n uswazi language.
 
Majungu tu, chambueni nyimbo zote zilizokosa maadili sio mnakomalia huo tu.
Kuchapiwa ndio kinawauma? Kama unapingana nae ukichapiwa katangaze tu ITAKUSAIDIA
 
Kwangu mimi huu ni moja ya nyimbo za kijinga nilizo pata kusikia.

Siupendi kabisa na unatia aibu kusikiliza hasa ukiwa na watu wako wa heshima.

Kuna bar fulani tulikuwa tumekaa ukapigwa huu wimbo niliona watu wana angaliana kwa aibu.

Alafu unaweza kukuta kwenye function watoto wanaimba huu wimbo wote hadi yale maneno na kufurahi kakini aibu inabaki kwa wazazi wao.

Kwa kweli huu wimbo unatia aibu sana kusikiliza.

Taja na nyingine zinazotia aibu au ni huu tu????
 
Nami pia nimekuwa nikisikiliza wimbo huo lakini siuelewielewi. Kwa hiyo ukichapiwa ukatunza siri ndio ujanja au?

Usinichekeshe.... wewe ukichapiwa utaweka bango? Kinyume cha mjanja ni nini?
 
Kusema ukweli ndiyo kubomoa? Kwani ni siri wake za watu hawachapwi nje ya ndoa zao? Rate imekuwa kubwa kiasi ya kwamba kuliko kutoa siri ni bora kuvumilia kama wanawake wanavovumilia wanaume zao wakichapa nje!
Mavoko anataka kufundisha wanandoa usiri wa ndani wa ndoa zao kuepusha kuvunjika kwa ndoa lukuki!

Wanajitoa ufahamu tu.... haohao miongoni mwao kuna waliochapiwa na walinyamaza so wanajishtukia
 
Mimi naona kinachowaudhi ni ile thought ya kuchapiwa; maana kuna nyimbo far worse than this hamlalamiki.
mie najua kwamba kuchapiwa ni for both wanaume na wanawake, siku hizi mnaita kufanya show, kupiga jingle, kupiga, kula, kugegeda, kubutua, kufyonza, kukazana, kulana, kubanjuana nk

the whole song is weak and not even good

siku moja nilikua na dogo halafu anamwambia mkewe acha soo kuchapiwa ni siri za ndani, sio lazima kila mtu ajue mimi kicheche mama... i felt bad

its not even funny
 
nina shida na contextual analysis
Wadau damu wa sanaa tunasema ukiona kazi yako inaleta mjadala uwe (+-)
Ujue umefaulu.
-Naona watu hapa wanashindwa kufafanua kwa lugha rahisi waliyoizoea wao
(Huo utofauti uliopo ndio unaleta hicho kinachoitwa SANAA)
Ila ujumbe umewafikia ipasavyo na ndio maana tupo ndani ya uzi huu sasa.
Coming to your problem, You won't get a candid context else-where except from the original creator.
 
Naomba nieleweshwe vizuri


  1. Ni kweli haya maneno walisema wazee wa zamani?
  2. Huu wimbo una maadili hasa kuimbwa na watoto?
  3. Ni kweli kuchapiwa ni SIRI ya Ndani? kivipi?
  4. Wapi mamlaka?

Mbona wimbo uko poa... binafsi naupendaga sana...
 
mie najua kwamba kuchapiwa ni for both wanaume na wanawake, siku hizi mnaita kufanya show, kupiga jingle, kupiga, kula, kugegeda, kubutua, kufyonza, kukazana, kulana, kubanjuana nk

the whole song is weak and not even good

siku moja nilikua na dogo halafu anamwambia mkewe acha soo kuchapiwa ni siri za ndani, sio lazima kila mtu ajue mimi kicheche mama... i felt bad

its not even funny

It is not; but an ugly truth. Sisapoti kuchapiwa lkn nakubali na busara iliyopo ktk kutatua mambo kwa usiri kuliko kuanika chipi zenu chafu nje.
 
Sijaona logic ya kusema ule wimbo hauna maadili. Mwimbaji ametaweka mashairi yake katika mpangilio unaovutia kuskiza. Ukweli ni kwamba hakuna aliyewahi kuweka matangazo barabarani mara baada ya kuchapiwa. Aliyeweka matangazo hayo basi ye sio mjanja. Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani.
 
Kazi Ipo this is made in Tanzania..

Amavubi upo sahihi mm sina lengo baya na hawa wasanii wa bongo but real kizazi kipya uuuuups majanga tuu huyu copy n paste the song na kutuweke hana maana utupe point wimbo una Maaana gani....

aeleze Hapa jamvin nyimbo za kale zilikuwa na maana na walizingatia matumiz ya lugha now days wimbo unaimbwa unataman kufunga radio......
 
Last edited by a moderator:
Anasema yeye hakubali kuchapiwa, akichapiwa tuu huyo mwanamke atambae, sio kama wazee wazamani walivyosema "kuchapiwa ni siri ya ndani". Kwa kifupi hataki mzaha.
 
Wimbo huu utapata tuzo bet na hata Chan O suburini tu August
 
It is not; but an ugly truth. Sisapoti kuchapiwa lkn nakubali na busara iliyopo ktk kutatua mambo kwa usiri kuliko kuanika chipi zenu chafu nje.
agreed..... na sidhani kama kuna mwenye busara yoyote awe mme au mke anaweza kusimama na kuanza kumsema mwandani wake mbele za watu kuhusu mambo yoyote yale
 
Back
Top Bottom