Huu Wimbo wa "Kuchapiwa ni SIRI ya Ndani"

Huu Wimbo wa "Kuchapiwa ni SIRI ya Ndani"

kama ulishasikiliza nyimbo za taarabu wewe unaweza kuja na tafsiri yako wenyewe wakaja na tafsiri yao sasa hapa ni bora atafutwe muimbaji atupe tafsir ya huu wimbo

huu wimbo hauna mafumbo yeyote yale na wala hauhitaji kumuuliza mtunzi kujua kuwa kilicho maanishwa.

Huu wimbo ni mwepesi kama ulivyo na maneno yaliyo yanaeleweka mapema tuu na yako wazi.
Ifike muda wasanii watafakari wanacho kitunga.

Ukiangalia huu wimbo utagundua kuwa ya meokotwa maneno na kuwekwa humo ,mwisho wa siku ni kuimba vitu ambavyo watu wanaogopa kusikiliza.
 
Naomba nieleweshwe vizuri

  1. Ni kweli haya maneno walisema wazee wa zamani?
  2. Huu wimbo una maadili hasa kuimbwa na watoto?
  3. Ni kweli kuchapiwa ni SIRI ya Ndani? kivipi?
  4. Wapi mamlaka?
1. Ndio
2. Inategemea na umri wao.
3. Ni siri ya ndani na ukiitoa UTAZIDI KUCHAPIWA mara 5 zaidi
4
 
tujadili kama hivi bial kuonekana kana kwamba tunamzibia riziki, achukue kama changamto kwa sababu najua ame invest sana hadi ukatoka

ni kweli kabisa hakuna anaye mchukia ,lakini nilijiuliza kabla ya kuutoa huu wimbo hakuwapa wenzie kuusikiliza na kutoa maoni?au walimwambia unafaa?

Kupitia huu wimbo huyu jamaa nimegundua huwa afikirii kabisa.

Najiuliza kwanini ajifunzi kwa mwenzie diamond?
 
Sasa hapo tumeangalia upande mmoja tu wa shilingi mkuu, msanii binafsi, vp na radio station zinazoupa huo wimbo airtime? Hapa unakuja kugundua kuwa hata hizi zinajiita entertainment/commercial radio pia hawajitambui hata chembe. It is quite a shame kwa kweli...😡😡😡:banghead:
 
Yaani huo wimbo natamani nisiusikie kabisaaaa!
Yaani wanipigie kagera yangu mabomu, halafu ni nyamaze kweli?
Kwa hali hii tunakoelekea sijui! ikiwa kuchapiwa ni siri ya ndani, basi kuchapia itakua ndo ujanja na si kunywa mchuzi wa pweza.
"Mbaya"
 
Licha ya wenzie, nimeuloiza pia swali la mamlaka zetu........
ni kweli kabisa hakuna anaye mchukia ,lakini nilijiuliza kabla ya kuutoa huu wimbo hakuwapa wenzie kuusikiliza na kutoa maoni?au walimwambia unafaa?

Kupitia huu wimbo huyu jamaa nimegundua huwa afikirii kabisa.

Najiuliza kwanini ajifunzi kwa mwenzie diamond?
 
ni kweli usemacho
Sasa hapo tumeangalia upande mmoja tu wa shilingi mkuu, msanii binafsi, vp na radio station zinazoupa huo wimbo airtime? Hapa unakuja kugundua kuwa hata hizi zinajiita entertainment/commercial radio pia hawajitambui hata chembe. It is quite a shame kwa kweli...😡😡😡:banghead:
 
Huu wimbo kwanza mie binafsi huwa siupendi hata kwa kuuwaza tu.
Pili huu wimbo hauna maadili yeyote sema kea vile hii nchi mamlaka zote husika zipo likizo isokuwa na mwisho basi ndio maana hadi sasa bado unapata air time. Yaani kana hakuna wizara na idara zinazojihusisha na hayo mambo na kuyapangilia!
Huu wimbo upigwe ban tu na wenyewe.
Ila badala yake wanakazania magazeti yanayowafumbua watu macho.
Nasema hivi: huu wimbo upigwe ban:thumbdown:

Hata huu unawafumbua macho walioko kwenye ndoa! wajifunze uvumilivu!
 
Ni Wa kishenzi sana, kama haupewi ban inamaanisha hii nchi haina viongozi.
 
Naomba nieleweshwe vizuri

  1. Ni kweli haya maneno walisema wazee wa zamani?
  2. Huu wimbo una maadili hasa kuimbwa na watoto?
  3. Ni kweli kuchapiwa ni SIRI ya Ndani? kivipi?
  4. Wapi mamlaka?
labada uwe kichaa halafu nyimbo nyingi za bongo fleva nyingi ni pumba hazizingatii maadili ya watanzania ndio maana hawawezi kufanya kimataifa
 
Huu wimbo unapatikana wapi? Video yake ishatoka?
 
Hauna maadili kabisa...Huwa natamani ardhi ipasuke ninaposikia watoto wakiuimba...Ila una beats poa
 
Naomba nieleweshwe vizuri

  1. Ni kweli haya maneno walisema wazee wa zamani?
  2. Huu wimbo una maadili hasa kuimbwa na watoto?
  3. Ni kweli kuchapiwa ni SIRI ya Ndani? kivipi?
  4. Wapi mamlaka?
[/Q9UOTE]
1. Ndio
2. Inategemea na umri wao.
3. Ni siri ya ndani na ukiitoa UTAZIDI KUCHAPIWA mara 5 zaidi
4

Aisee ....... inaelekea Mkuu we ni MCHAPAJI MZOEFU!
 
Sasa watoto wadogo wanaelewa maana ya kuchapiwa?
 
Mimi naona kinachowaudhi ni ile thought ya kuchapiwa; maana kuna nyimbo far worse than this hamlalamiki.
 
Back
Top Bottom