Mimi naona kinachowaudhi ni ile thought ya kuchapiwa; maana kuna nyimbo far worse than this hamlalamiki.
Dah!!Sasa watoto wadogo wanaelewa maana ya kuchapiwa?
Dah!!
Nimecheka sana aiseee.......!!!!!!!!!!!!
Una hatari sana wewe..:becky::becky::becky::becky:
sasa unaona kinachekesha hicho? wabongo bana
Duuh,mbona unashangaza ndugu? Eti wimbo hauelewi ila unavutia kusikiliza. Utavutiwa vipi wakati huelewi chochote?
Hata huu unawafumbua macho walioko kwenye ndoa! wajifunze uvumilivu!
Sasa watoto wadogo wanaelewa maana ya kuchapiwa?
Mimi naona kinachowaudhi ni ile thought ya kuchapiwa; maana kuna nyimbo far worse than this hamlalamiki.
Sio kwa approach hii ya kubomoa mkuu
Hajatuambia ni wazee gani! Inaweza kuwa kweli kuna wazee walisema hivyo. Si ni kama wale waliosema "kitanda hakizai haramu" tu?Naomba nieleweshwe vizuri
- Ni kweli haya maneno walisema wazee wa zamani?
La hasha! Hatutegemei watoto wazungumzie habari za "kuchapa" na "kuchapiwa". Waimbaji wa wimbo huo ni watoto?2.Huu wimbo una maadili hasa kuimbwa na watoto?
Sasa kama ukichapiwa (say "mkeo") unaenda kuutangazia ulimwengu kuwa umechapiwa/unachapiwa? Labda kama umeamua kutoa talaka pia!..Ni kweli kuchapiwa ni SIRI ya Ndani? kivipi?
Sio rahisi kuchukua hatua kwa kuwa neno lililotumika tayari lililenga kupunguza ukali wa neno halisi la kitendo ambacho mtunzi alikusudia. Au pengine mtunzi anataka kutuambia umuhimu wa kuvumiliana na kutunza siri katika mahusiano/ndoa?4.Wapi mamlaka?
Mimi naona kinachowaudhi ni ile thought ya kuchapiwa; maana kuna nyimbo far worse than this hamlalamiki.
naona hapo umegongea msumari haswa. ningekiona kitufe cha like ningekugongea.
huu wimbo unachoma watu haswa! hilo wazo la kuchapiwa limekuwa msumari haswa.
mbona wimbo wa mwana fa "bado nipo nipo" watu hawakulalamika?
wimbo wa ali kiba na jay dee "single boy" mbona watu walikaa kimya"
huu wimbo unafundisha watu ndoani uvumilivu. siku hizi unakuta watu wanafumania wenzi wao wanaita na wapiga picha ili stori itoke na shigongo auze. hivyo mnakumbushwa ukichapiwa fanya siri uyamalize na mwenzi wako. "muungwana akivuliwa nguo huchutama".