Naona hamna mtu hata mmoja alieongelea swala la kudhalilisha wanawake.. neno 'kuchapa'..ambalo hutumika na wanaume kwa wanawake linaashiria mfumo flani wa kudhalilisha..na ndo maana mara nyingi huambatana na majigambo kuwa nimemchapa ule mschana n.k.. hii ni 2014 tunahitaji mabadiliko jamani..nyimbo kama hizi sio tu zinakera ila pia zinazidi kudhalilisha na kuongeza upenyo wa kuendeleza mfumo dume. Tendo la ndoa ni la watu wawili..kama linafanyika kwa consent,(hakuna anaemuonea mwenzake wana anamchapa, mkaza, mmega and all the other words ambazo wanaume mnatumia) for that mavoko..pamoja na hio beat yako nzuri..neno kuchapa limeuharibu kabisa mwimbo wako kwa maoni yangu.