Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

Unashangaa nn sasa hapo ukiona ulinzi wa papa mtukufu si ndo utazimia ww...tena sio papa watumoshi kibao tu dunian hasa ma askofu waanzilishi wanaulinzi
 
wamekariri kua mlinzi ni kuvaa suti na miwani nyeusi, yaani hao wote na mbwembwe zao wakiwekwa kati na yule jamaa wa Magu mmoja tu watachafua suruali kwa mbolea
 
Makonda alienda na walinzi wake kaambiwa kavamia, Gwajima kaenda na wake wanaonekana wafalme..duniani kuna mamboo
 
Makonda alienda na walinzi wake kaambiwa kavamia, Gwajima kaenda na wake wanaonekana wafalme..duniani kuna mamboo
Sasa mwizi wa cheti utamlinganisha vp na Dk.Gwajima mtumishi wa Mungu?! Bashite alivamia kama mwizi na huyu Gwajima alitoa taarifa mapema kwamba atawatembelea Clouds kuwapa pole.
 
Alikuuzia dawa? Acha wivu kapewa Na anayemtumikia Hadhi ya Gwajima ni high class anastahili hivyo.

yesu mwenyewe ambaye ni mwana wa mungu hakuwai kuwa na ulinzi kama huo, sembuse mwenye dhambi ,muovu na mzinzi kama gwajima. ndio apewe na mwenyezi mungu!?
 
Hamchoki tu na hizi ngojera? Kama ni drug lord mbona wamemuacha ? Basis atakuwa in drug lord mwenzao ! Ifike mahala muone aibu, MTU wenu sasa yako shingoni.

baba yenu wakiroho ni muuza ngada mzuri tuu inatakiwa ujuwe na uelewe hivyo.
 
Back
Top Bottom