Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

Pengo alustahiki alicho kipata jwa kwenda kinyume na makubaliano ya maaskofu wa makanisa yote tz, ili tu aineshe maaba yake kwa maccm
Wengine waliokataa katiba wako ukawa sasa hivi, na gwajima alikuwa ndio mshenga wa kuwaleta huko!
 
Kuna wapuuzi wanamfananisha gwajima na papa..gwajima ni sawa na kasisimizi mbele ya papa..mbwembwe zote hzo za ulinzi lakini kwenye foleni tuna nasa wote.
 
Leo wakati akitinga clouds ameonekana akiwa na ulinzi mkali sana ambao kwa kiongozi Wa dini unatia shakaView attachment 484991
Gwajima ni hearthen ,kwa hiyo sishangai.He is not a servant of God.Mtu wa Mungu analindwa na Mungu.Ulinzi anaotumia unaonyesha wazi kwamba hamuamini Mungu.Ni miongoni mwa wale wanaosita sita.
 
Nchi yenu ndipo ilipofikia. Na ndo maana hata Bashite kaongezewa ulizi na ndo maana mabaka sasa hatuji bwana Ben yupo wapi na ndo maanaa hata Magufuli analindwa balaaa na ndo maana kila mmoja wetu ailifanikiwa kujenga nyumba kaweka.bonge la ukuta na geti kibwaaaaa madilisha ya chuma

Maukuta na mageti makali ni design tu ama mazoea si kwa sababu ya usalama. Niliona Windhoek, Namibia profesa mmoja toka Afrika Mashariki amejenga ukuta mrefu wa nyumba yake sijaona hapa Dar. Nilishangaa sana. Majirani hataah! Hata huo ulinzi wa Kiongozi huyo wa dini ni life style tu ama fashion ya viongozi wa Leo wa kidini wa kada fulani. Sijui Kama una akisi vizuri kazi ile anayoifanya na Imani anayoihubiri.
 
Bashite hana adabu hata kwa viongozi wa dini kwa hiyo ni lazima wajihami.
 
Gwajima ni burudani nyingine. 'Yule kiumbe basi yule kiumbe yule....... Malanjeeeeee!!! hahahhhhh Daudi hana hamu huko aliko. Chezea hangine hangu hagumu 'kwa sauti ya kigogo'
 
Ni wasiku nyingi sanaaa kabla hata bashite hajaanza huyu jamaa ana ma ma billion ya hela bila ulizi nia hatari wanaweza ku mteka kwa kutaka hela ni kawada hata papa ana alinzi zaidi ya hao
 
Wala msiwe na shaka hao ni waumini wake wameeamua kumlinda mtumishi wao
 
Back
Top Bottom