Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

Nibozali

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
572
Reaction score
1,055
Leo wakati akitinga clouds ameonekana akiwa na ulinzi mkali sana ambao kwa kiongozi Wa dini unatia shaka
‪+255 756 997 052‬ 20170322_175112.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Gwajima huwa ananifurahishaga sanaa....hasa akianza kuongelea chopa yake
An ahahahahaa haha haha tupo wengi, anakwambia nikatua hapa,nikatua hapa, nikatua pale, nikatua daresalama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo siku ya kutua hapa kutua pale jamani nilicheekaaa, itabidi jumapili ijayo niende tu ufufuo na uzima
 
Back
Top Bottom