Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,789
- 4,828
Jana alisepa alivyoulizwa na Kadada Fulani ka Millard Ayo Kama alitoa cheti kilichopo mtandaoni ama Kama kuna cheti cha sifuli kaishia kujiuma uma. Gwajima and co waendelee kunyonya tu walalahoi alioshikilia Oblangata zao na wao kuishia kutembelea mi hummer Mungu anawaona na anawasubiri.☠️
Na zaidi angetuambia ni nchi gani kwa wazungu anakomiliki makanisa 400 ambako wazungu wako chini yake zaidi ya hao anaowashikilia oblongata bongo wasomi kwa wasiosoma maskini kwa matajiri huku yeye akila Neema kwa kiwakamua walalahoi