Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

Gwajima huwa ananifurahishaga sanaa....hasa akianza kuongelea chopa yake
"Nilipofika pale kijijini watu wakajaa kushangaa helicopter basi nikawa natua kila mji ilikusalimia siunajua nilikua sijawatembelea siku nyingi"
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Namuona makonda a.k.a bachite anavyojitutumua kumfikia gwajima kwa mali!!!
 
Wewe nani bwana, kama unataka wafate wakwambie
Wewe nae sijui ndio wale wale waliolewa kiporo kilicho chacha.

Umekurupuka tu, hebu rudi huko ulipotoka shimoni kwenu Lumumba.
 
Back
Top Bottom