Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,271
Hahahaa....FULL STOP!Dr. Slaa huwa anajidai ana mdomo. Ila kwa King GWAJIMA ili bidi atulie na ahame nchi.
Full data.
Hahahaa....FULL STOP!Dr. Slaa huwa anajidai ana mdomo. Ila kwa King GWAJIMA ili bidi atulie na ahame nchi.
Full data.
Hahahahahahahahahahah du jamni hiii kweli imenifurahisha kupita uwezoGwajima huwa ananifurahishaga sanaa....hasa akianza kuongelea chopa yake
mbona kawaida tu kwa drug lord kuwa na ulinzi kama huo.
sanSasa ni muda wa kujenga nchi na kujiletea maendeo, majilani wanatuacha kwa kila kukicha kujadili personal issues.tz tumerogwa nanani?Leo wakati akitinga clouds ameonekana akiwa na ulinzi mkali sana ambao kwa kiongozi Wa dini unatia shakaView attachment 484991
Mr chopaAn ahahahahaa haha haha tupo wengi, anakwambia nikatua hapa,nikatua hapa, nikatua pale, nikatua daresalama![]()
nowmaaLeo wakati akitinga clouds ameonekana akiwa na ulinzi mkali sana ambao kwa kiongozi Wa dini unatia shakaView attachment 484991
Hahaaaaaa naona unajisema mkuu, kwangu kiporo ni chakula cha umbwa tu mkuu!!! Lkn nikashangaa kuona unajiita uporohapo kwenyewe hujaenda kwenye majukumu yako ya kila siku unavizia watoto waende shule ndio upige kiporo kwanza then ukifika ofisini ni kusinzia tuu nakuchafua hali ya hewa kwa wenzako. nikiangalia comment zako wewe ni miongoni mwa wale waliokuzwa kwa viporo.
Nmekuelewa snKiini hapa ni kwamba jamaa kahusisha ulinzi mkubwa na madawa ya kulevya... kwa mantiki yake mtu akiwa na ulinzi mkubwa ni kwamba anajihusisha na madawa ya kulevya. Ndiyo maana nikamuuliza hilo swali ili ajue ulinzi mkubwa hauna uhusiano na madawa ya kulevya, haya ni maswala ya uwezo tu ndo maana hata mitaani kuna mwingine nyumba yake inalindwa na makampuni ya ulinzi, mwingine ameweka masai, mwingine halindi kabisa, hii haimaanishi yule anayelindwa na makampuni ya ulinzi anahusika na madawa ya kulevya kuliko yule anaye lindwa na Masai na pia haimaanishi kwamba yule asiye na walinzi ni msafi kabisa
Mvaa tai uko vzr..Si kweli kwasababu, amekwisha hojiwa na uchunguzi umefanyika imeonekana aliyemtaja hakua mkweli ndiyo maana akaachiwa aendelee na shughuli zake, tusiamini sana habari za mitaani wakati mwingine zinakua za kizushi, kwa mfano kuna habari kwamba JPM ana kitu chake anacho kipenda kutoka kwa bashite, sitaamini mpaka siku warushe video au ushahidi mwingine wa dhahiri ukithibitisha hicho kitu, ila kwasasa nitaendelea tu kuamini jamaa ana mpenda kwa uchapakazi tu.....😀😀😀😀
wamekariri kua mlinzi ni kuvaa suti na miwani nyeusi, yaani hao wote na mbwembwe zao wakiwekwa kati na yule jamaa wa Magu mmoja tu watachafua suruali kwa mbolea
Makonda alienda na walinzi wake kaambiwa kavamia, Gwajima kaenda na wake wanaonekana wafalme..duniani kuna mamboo
Asikudanganye mtu, sadaka haiwezi lipa namna hiyo!Sadaka inafanya kaz mzeee
Hivi ni nini hiyo sikioniMcheki huyo bodyguard wake hapo sikioni mi nilizoea kuona kwenye series tu kumbe hata bongo yapo?