HAKUNA KITU HAPO NI FA FAHao watu unawajua? fuatilia ile issue yake na Mbasha ujue hao watu ni kina nani.
Lakini kwa mungu wa ccm yote yanawezekanaKulikuwa na mtikila na kakobe nk nao walikuwa na matambo kama gwajima Leo hakuna hata wa kumkumbuka mungu hataniwi kwa mfano wa gwajima amepandishwa na iko cku atashuka na hayo matambo yataishaga
Kiini hapa ni kwamba jamaa kahusisha ulinzi mkubwa na madawa ya kulevya... kwa mantiki yake mtu akiwa na ulinzi mkubwa ni kwamba anajihusisha na madawa ya kulevya. Ndiyo maana nikamuuliza hilo swali ili ajue ulinzi mkubwa hauna uhusiano na madawa ya kulevya, haya ni maswala ya uwezo tu ndo maana hata mitaani kuna mwingine nyumba yake inalindwa na makampuni ya ulinzi, mwingine ameweka masai, mwingine halindi kabisa, hii haimaanishi yule anayelindwa na makampuni ya ulinzi anahusika na madawa ya kulevya kuliko yule anaye lindwa na Masai na pia haimaanishi kwamba yule asiye na walinzi ni msafi kabisaumeshasema rais ni tofauti na mchungaji.....we ushawai kumuona pengo na ulinzi kama wake gwajima?.
Kiini hapa ni kwamba jamaa kahusisha ulinzi mkubwa na madawa ya kulevya... kwa mantiki yake mtu akiwa na ulinzi mkubwa ni kwamba anajihusisha na madawa ya kulevya. Ndiyo maana nikamuuliza hilo swali ili ajue ulinzi mkubwa hauna uhusiano na madawa ya kulevya, haya ni maswala ya uwezo tu ndo maana hata mitaani kuna mwingine nyumba yake inalindwa na makampuni ya ulinzi, mwingine ameweka masai, mwingine halindi kabisa, hii haimaanishi yule anayelindwa na makampuni ya ulinzi anahusika na madawa ya kulevya kuliko yule anaye lindwa na Masai na pia haimaanishi kwamba yule asiye na walinzi ni msafi kabisa
Si kweli kwasababu, amekwisha hojiwa na uchunguzi umefanyika imeonekana aliyemtaja hakua mkweli ndiyo maana akaachiwa aendelee na shughuli zake, tusiamini sana habari za mitaani wakati mwingine zinakua za kizushi, kwa mfano kuna habari kwamba JPM ana kitu chake anacho kipenda kutoka kwa bashite, sitaamini mpaka siku warushe video au ushahidi mwingine wa dhahiri ukithibitisha hicho kitu, ila kwasasa nitaendelea tu kuamini jamaa ana mpenda kwa uchapakazi tu.....😀😀😀😀basi juwa hivyo baba wako wa kiroho nimuuza ngada.
Toka lini kipolo kikawa na akiri
Njoo nitegeshee mlango wa nyuma uone Mama wewe
Kiporo nikitu kisicho na thamani ni chakutupwa tu, mahala pake ni jalalani!!!sawa msukule.
Kiporo nikitu kisicho na thamani ni chakutupwa tu, mahala pake ni jalalani!!!
Go there.....
Anajiita dude! Si mtu wa mchezo mchezo! Yeye ni zaidi ya Raisi eti kwakwe yeye kuwa Raisi anajishusha! Sasa hayo ndo mambo walinzi kama hao ukiwa Raisi huwapati.






Una hamu ya kupakuliwa kahaba mkubwa wewe.ata james delicious anaweza kuongea the same kama unavyosema .flora mbasha weeee.
Ndio naona nguo tu zimefanana zinakimbilia wapi sijui! Walinzi wanakimbia kama wanakwaya..........Sijui nani kakukremisha huyo
Una hamu ya kupakuliwa kahaba mkubwa wewe.
Naona ID yako inaonesha ni mtu wa kupakuliwa.
Hahahaa.....Gwajima noma sanaDr. Slaa wawatu alikua mpoole hata aijulikani alipotokomea usinikumbushe mbali