Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

Kama unataka kujua hao walinzi wakoje wewe katisha mbele ya Gwaji halafu uje utupe taarifa.
 
Mungu anafanya yale yanayomshinda mwanadamu,..."linaloshindana kwa mwanadamu kwa linawezekana" Sasa Mch.Gwajima anafanya lile analoliweza...ulinzi wake ukishindwa,Mungu atamtetea .
 
Hili ni drug dealer na si kiongozi wa kiroho ,amini maneno yangu,
Inatakiwa
 
Hata Yesu alikiwa na wanafunzi wake na hao walikuw na silaha. Rejea wakati Yesu anakamatwa.

Kila mtu ana maadui zake na kujikinga sio kiroho tuu bali na mwili. Kama ni hivyo nchi za kiislam zisingekuwa na jeshi wala mji wa roma
 
Huyo ndio Gwajima ukimchokoza lazima uwe umejiandaa kuhama nchi bila kutarajia. Dr Slaa alianza Bashite anafuata
 
Hamchoki tu na hizi ngojera? Kama ni drug lord mbona wamemuacha ? Basis atakuwa in drug lord mwenzao ! Ifike mahala muone aibu, MTU wenu sasa yako shingoni.
et drug lord c wangemfungulia mashtaka yan hawajui kusoma ata picha hawaioni
 
Back
Top Bottom