Huu ni urafiki au unafiki kwenye birthdays?

Habarini za humu wadau juzi tarehe sita mwezi wa 12. Nilikuwa nasherekea siku yangu ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 21.

Basi nikajipostia picha yangu na baadhi ya maneno kujiwish happy birthday kwenye whatsapp status. Cha ajabu wale rafiki zangu kabisa wa karibu wa view tu status halafu hata comment ya kukuwish hamna. Wengine kwenye birthday zao hadi picha zao status huwa naweka nikitarajia pia siku yangu ya kuzaliwa watafanya hivyo lakini hamna.

Nina Gundu au?
Watakuwisha siku ukitimiza miaka 21 na Miezi 5 au unawachagulia siku ya kukuwisha ? make kila siku na saa unaongeza umri
 
ilikua ni siku yako ya kuzaliwa na si yao

unaposherehekea siku yako tegemea ushirikiano

kutoka kwenye mikono yako,mdomo,pesa yako,moyo,miguu yako,nk

hao wengine achana nao as long as afya unayo ya kusherehekea

akili ipo ya kuweza japo tu kukumbuka "siku yako" asee vinatosha kabisa.

Ule msemo wa Raha Jipe Mwenyewe,unau elewaga kweli?
 
Mwenyewe nimemshtukia.. Marafiki ndo aumie hivyo??
unaishi kwa ajili ya watu fulani? utakufa kijana yani inaonesha hyo siku furaha yako ilikua inakamilishwa nawewe kupostiwa na marafiki zako kama sio mpenzi wako [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umeona uje kwa gia ya marafiki
 
Habarini za humu wadau juzi tarehe sita mwezi wa 12. Nilikuwa nasherekea siku yangu ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 21.

Basi nikajipostia picha yangu na baadhi ya maneno kujiwish happy birthday kwenye whatsapp status. Cha ajabu wale rafiki zangu kabisa wa karibu wa view tu status halafu hata comment ya kukuwish hamna. Wengine kwenye birthday zao hadi picha zao status huwa naweka nikitarajia pia siku yangu ya kuzaliwa watafanya hivyo lakini hamna.

Nina Gundu au?
Not important
Fanya ya muhimu
 
Happy birthday mkuuu uwe unaturushia picha zako tunakuwish humu
 
Habarini za humu wadau juzi tarehe sita mwezi wa 12. Nilikuwa nasherekea siku yangu ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 21.

Basi nikajipostia picha yangu na baadhi ya maneno kujiwish happy birthday kwenye whatsapp status. Cha ajabu wale rafiki zangu kabisa wa karibu wa view tu status halafu hata comment ya kukuwish hamna. Wengine kwenye birthday zao hadi picha zao status huwa naweka nikitarajia pia siku yangu ya kuzaliwa watafanya hivyo lakini hamna.

Nina Gundu au?
Pole.
 
Back
Top Bottom