Huu ni urafiki au unafiki kwenye birthdays?

Habarini za humu wadau juzi tarehe sita mwezi wa 12,nilikuwa nasherekea siku yangu ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 21...Basi nikajipostia picha yangu na baadhi ya maneno kujiwish happy birthday kwenye whatsapp status...Cha ajabu wale rafiki zangu kabisa wa karibu wa view tu status halafu hata comment ya kukuwish hamna,wengine kwenye birthday zao hadi picha zao status huwa naweka nikitarajia pia siku yangu ya kuzaliwa watafanya hivyo lakini hamna...Nina Gundu au?

Kijana kwanza pole sana! Ila cha msingi zingatia kwamba maisha hayawezi kukupa kila kitu unachotaka and never expect anything from anayone maana utapata tabu sanaa! kama unatoa kitu, msaada, unapost unafanya anything basi fanya kwa utayari wako wewe wala usitegemee ifike zamu yako ufanyiwe sawa.

Katika maisha jifunze ku lose pia, katika safari ya maisha you will lose a lot of battles, utapoteza vitu na watu uwapendao, utakosa kazi unayoipenda sana, sasa jizoeshe mapema la sivyo utakuja kujinyonga. Hata mimi zamani nilikua soft kama wewe, niliteseka mnoo, but nilipata experience ya ku lose and now i understand unaeza kupata au kukosa cha msingi don’t lose hope.

Ushauri wangu tafuta pesa na status kijana. Hao rafiki zako wote watakupost mpaka ushangae. Na kama unataka kulipiza kisasi basi “BE SUCCESSFUL” this is the best revenge of all times

Ahsante
 
Jifunze kujitegemea kwa kila uone kama hautafatwafatwa, binafsi mm ni disminder sijali unipost usinipost fresh tu, kwanza maisha yenyewe haya full stress why nipate headache kwa ajili ya mtu

Napenda kuwa na watu sana,sipendi kujitengatenga ila watu ndo hunidisaapoint
 
Kijana kwanza pole sana! Ila cha msingi zingatia kwamba maisha hayawezi kukupa kila kitu unachotaka and never expect anything from anayone maana utapata tabu sanaa! kama unatoa kitu, msaada, unapost unafanya anything basi fanya kwa utayari wako wewe wala usitegemee ifike zamu yako ufanyiwe sawa.

Katika maisha jifunze ku lose pia, katika safari ya maisha you will lose a lot of battles, utapoteza vitu na watu uwapendao, utakosa kazi unayoipenda sana, sasa jizoeshe mapema la sivyo utakuja kujinyonga. Hata mimi zamani nilikua soft kama wewe, niliteseka mnoo, but nilipata experience ya ku lose and now i understand unaeza kupata au kukosa cha msingi don’t lose hope.

Ushauri wangu tafuta pesa na status kijana. Hao rafiki zako wote watakupost mpaka ushangae. Na kama unataka kulipiza kisasi basi “BE SUCCESSFUL” this is the best revenge of all times

Ahsante

Asante,kati ya comments nilizopata za kunijenga this is among of them....uliwezaje au nikupm
 
Habarini za humu wadau juzi tarehe sita mwezi wa 12,nilikuwa nasherekea siku yangu ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 21...Basi nikajipostia picha yangu na baadhi ya maneno kujiwish happy birthday kwenye whatsapp status...Cha ajabu wale rafiki zangu kabisa wa karibu wa view tu status halafu hata comment ya kukuwish hamna,wengine kwenye birthday zao hadi picha zao status huwa naweka nikitarajia pia siku yangu ya kuzaliwa watafanya hivyo lakini hamna...Nina Gundu au?
Dah hivi vyuo havijashunguliwa
 
Kijana kwanza pole sana! Ila cha msingi zingatia kwamba maisha hayawezi kukupa kila kitu unachotaka and never expect anything from anayone maana utapata tabu sanaa! kama unatoa kitu, msaada, unapost unafanya anything basi fanya kwa utayari wako wewe wala usitegemee ifike zamu yako ufanyiwe sawa.

Katika maisha jifunze ku lose pia, katika safari ya maisha you will lose a lot of battles, utapoteza vitu na watu uwapendao, utakosa kazi unayoipenda sana, sasa jizoeshe mapema la sivyo utakuja kujinyonga. Hata mimi zamani nilikua soft kama wewe, niliteseka mnoo, but nilipata experience ya ku lose and now i understand unaeza kupata au kukosa cha msingi don’t lose hope.

Ushauri wangu tafuta pesa na status kijana. Hao rafiki zako wote watakupost mpaka ushangae. Na kama unataka kulipiza kisasi basi “BE SUCCESSFUL” this is the best revenge of all times

Ahsante
Happy birthday na wewe mkuu, umeongea point sana, barikiwa this Sunday.
 
Una umri gani brow?? Vipi umeoa?? Una majukumu yoyote ya kukuweka bize??
 
Napenda kuwa na watu sana,sipendi kujitengatenga ila watu ndo hunidisaapoint
Ushuhuda wangu Me Aidanna, binafsi nasaidiwa sana na watu baki tena unakuta ndy mara ya kwanza kuonana wananisapport kwa kila kitu, lakini sasa wale ninaowaamini kama ndg au marafiki wa muda mrefu huwa hawanijali sana ninapopata tatizo, sasa mm hata nipate tatizo sisemi wanasikia tu nimeshatatua, sipendagi sana kuwaambia shida zangu, NIMEJIFUNZA KUJITEGEMEA
 
Aibu naona mm embu jikaze we mtoto wa kiume alaaa iv shule mnafungua Lin

Back
Top Bottom