Lukaku marata
JF-Expert Member
- Dec 4, 2019
- 448
- 752
Habarini za humu wadau, juzi tarehe sita mwezi wa 12. Nilikuwa nasherekea siku yangu ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 21.
Basi nikajipostia picha yangu na baadhi ya maneno kujiwish happy birthday kwenye whatsapp status. Cha ajabu wale rafiki zangu kabisa wa karibu wa view tu status halafu hata comment ya kukuwish hamna.
Wengine kwenye birthday zao hadi picha zao status huwa naweka nikitarajia pia siku yangu ya kuzaliwa watafanya hivyo lakini hamna.
Nina Gundu au?