Huu ni urafiki au unafiki kwenye birthdays?

Huu ni urafiki au unafiki kwenye birthdays?

Kuna mambo mengi ya kufanya zaidi ya hiyo birthday party yako.

Hayo mambo yamebaki kwa akina dada ambao hawajaolewa, hivyo faraja zao na furaha na hasira zao wanazimalizia huko!

Siyo kila kitu ukitilie maanani! Yaani hilo tu ndiyo likukosanishe na marafiki zako!?

Happy birthday to you!
Duuh.. eti kwa ajili ya akina dada ambao hawajaolewa. Sio kila mwanamke ambae hajaolewa hana furaha au maisha mpaka ategemee birthday yake ije .
Kama ulivyomshauri there's more to life zaidi ya hiyo birthday yake bas ndo hvyo hvyo kwa ambao wamekosa bahati ya kuolewa, kuna zaidi ya hilo. Mambo ni mengi ukikosa kitu moja bado kuna uwezekano wa kua na furaha.
NB:sio povu. Imenigusa tuu i had to share. Asante.
 
naruhusiwa kuleta posa ?
 
Sifaham,..naandika nafuta,..ila sijui,..hiv mleta mada yuko sawa kwel..mbona ana sound ki shemale sana

Sijui,..mtanisamehe
Ahahahahahaha

Wavulana walaini biskuti hawavunji
Bado mvulana usimlaumu 21
 
"JIFUNZE KUBALANCE SHOBO...." Hii statement ukiizingatia maisha yako yatakua stable sana.
 
Mambo ya kishamba haya unalilia kupostiwa na kuwish nawa ndio ujifunze na ww unaforce akuwishi lakini moyoni hakutakii mema yann sasa kupostiwa.
 
Duuh.. eti kwa ajili ya akina dada ambao hawajaolewa. Sio kila mwanamke ambae hajaolewa hana furaha au maisha mpaka ategemee birthday yake ije .
Kama ulivyomshauri there's more to life zaidi ya hiyo birthday yake bas ndo hvyo hvyo kwa ambao wamekosa bahati ya kuolewa, kuna zaidi ya hilo. Mambo ni mengi ukikosa kitu moja bado kuna uwezekano wa kua na furaha.
NB:sio povu. Imenigusa tuu i had to share. Asante.
Ok, thanks dadangu.
Nimekuelewa sana.
 
Sina kazi ila wazazi wangu hunipa hela ya kutosha tu
Ona sasa kumbe tunahangaika na kinda, bado litoto la mama, ndo maana unalilia kupostiwa mitandaoni.

Laiti kama ungekuwa na kaz za kufanya kukukeep busy usingeleta pumba zako humu kuja kulalamika.
 
Habarini za humu wadau, juzi tarehe sita mwezi wa 12. Nilikuwa nasherekea siku yangu ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 21.

Basi nikajipostia picha yangu na baadhi ya maneno kujiwish happy birthday kwenye whatsapp status. Cha ajabu wale rafiki zangu kabisa wa karibu wa view tu status halafu hata comment ya kukuwish hamna.

Wengine kwenye birthday zao hadi picha zao status huwa naweka nikitarajia pia siku yangu ya kuzaliwa watafanya hivyo lakini hamna.

Nina Gundu au?
Huo ni umama
 
Happy birthday toto. Wanaokupinga wapuuze. Usijali, Umri wako bado unaruhusu kuwaza upumbavu. Enjoy your day.
 
Back
Top Bottom