Huu ni urafiki au unafiki kwenye birthdays?

Huu ni urafiki au unafiki kwenye birthdays?

Miaka 21 na mimi ni binadamu nahitaji upendo[emoji16][emoji16][emoji16].Aya ngoja waje wakuonyeshe upendo,JF mda mwingine huwa ina hulka za fb.
 
ungewatumia bando afu uone kama wangeku-post au vp
 
Kuwa kijana, yaani kabisa mtu unakaa kuzingatia siku ya kuzaliwa?

Mkuu watu tuko tofauti sana Tanzania na Duniani ubaya wa JF humu watu wanamshambulia huyu dogo lakini hajavunja katiba wala kufanya kosa la jinai.

Na haya yana tokea sababu ya utofauti wetu wa kimazingira Maisha na makuzi kwa ujumla wake

Msimshangae bhana
 
duuuuh kweli wanaume tunapungua kwa kasi ya ajabu sana...kumlaumu mwanaume mwenzako hajakuwish hbd au kufatilia mambo ya status na kuyachukulia serious ni mambo ya KI...KE.
 
Mkuu watu tuko tofauti sana Tanzania na Duniani ubaya wa JF humu watu wanamshambulia huyu dogo lakini hajavunja katiba wala kufanya kosa la jinai.

Na haya yana tokea sababu ya utofauti wetu wa kimazingira Maisha na makuzi kwa ujumla wake

Msimshangae bhana

Angalau wewe watu wanashambulia as if ni kitu cha ajabu ninaexpress feelings zangu pia
 
unaishi kwa ajili ya watu fulani? utakufa kijana yani inaonesha hyo siku furaha yako ilikua inakamilishwa nawewe kupostiwa na marafiki zako kama sio mpenzi wako 😄 😄 😄 😄 umeona uje kwa gia ya marafiki
 
Bado Mvulana, Hayo Mambo Hayakusaidii Lolote
Ukitaka Msaada Unga Mkono Juhudi Za Maendeleo
 
Back
Top Bottom