Huu ni urafiki au unafiki kwenye birthdays?

Huu ni urafiki au unafiki kwenye birthdays?

unaishi kwa ajili ya watu fulani? utakufa kijana yani inaonesha hyo siku furaha yako ilikua inakamilishwa nawewe kupostiwa na marafiki zako kama sio mpenzi wako [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umeona uje kwa gia ya marafiki

Hahahahah demu wangu kanipost ila Friend’s sasa ina maana ni fake niggas
 
Mkuu watu tuko tofauti sana Tanzania na Duniani ubaya wa JF humu watu wanamshambulia huyu dogo lakini hajavunja katiba wala kufanya kosa la jinai.

Na haya yana tokea sababu ya utofauti wetu wa kimazingira Maisha na makuzi kwa ujumla wake

Msimshangae bhana
Happy bday mkuu[emoji23][emoji23]
 
Exactly, no time ya kubembelezana, usikubali kuwa option kizembe kizembe, kama wamevunga kimya naye anavunga kimya. No blessing kwenye kulalamika na kulaumu dunia haipo hivyo anavyowaza.

Kweli kabisa sitaki kuwa option asee
 
Hahahahah demu wangu kanipost ila Friend’s sasa ina maana ni fake niggas
ahahahahaha usiudanganye umma sema tu n demu ajakupost 😄 pole nakushauri usijali na kujiumiza kwa haya mambo ya mitandao kikubwa mshukuru Mungu na wazazi kwa zawadi ya maisha uliyonayo.
 
Yani akili ni nywele ila ww una kipilipili kabisa unategemea wishes kutoka kwa friends, yani siwezagi kabisa kumtegemea mtu kwa kitu chochote kile labda my mama only wengine hawa ni full stress kabisa
 
ahahahahaha usiudanganye umma sema tu n demu ajakupost [emoji1] pole nakushauri usijali na kujiumiza kwa haya mambo ya mitandao kikubwa mshukuru Mungu na wazazi kwa zawadi ya maisha uliyonayo.

Shida yangu sio demu kunipost shida ni hao company yangu
 
Aliefuta comment yangu alaaniwe
Wivu tu[emoji19]
 
Just imagine,ungekuwa wewe inamaana your nothing to them?
Daaa inatia uchungu, unajikuta upo kwenye desperation period siku yako ya kuzaliwa, ndio maana mimi hata sikumbukagi siku yangu yazaliwa, mara ya mwisho niliikumbuka nikiwa bafuni na oga.
But anyway.
Happy birthday to you mkuu.
Tupo pamoja.
 
Yani akili ni nywele ila ww una kipilipili kabisa unategemea wishes kutoka kwa friends, yani siwezagi kabisa kumtegemea mtu kwa kitu chochote kile labda my mama only wengine hawa ni full stress kabisa

Japo nimecheka ila umeongea point kabisa,so ntaachaje kuexpect vitu kutoka kwa watu
 
Unaweza ona ni jambo dogo na la kawaida ila libeba ujumbe mzito sana!
 
Daaa inatia uchungu, unajikuta upo kwenye desperation period siku yako ya kuzaliwa, ndio maana mimi hata sikumbukagi siku yangu yazaliwa, mara ya mwisho niliikumbuka nikiwa bafuni na oga.
But anyway.
Happy birthday to you mkuu.
Tupo pamoja.

So hivyo ulivyojisikia ndo hivyo ninavyojisikia
 
Back
Top Bottom