Huu ni urafiki au unafiki kwenye birthdays?

Huu ni urafiki au unafiki kwenye birthdays?

Kijana kwanza pole sana! Ila cha msingi zingatia kwamba maisha hayawezi kukupa kila kitu unachotaka and never expect anything from anayone maana utapata tabu sanaa! kama unatoa kitu, msaada, unapost unafanya anything basi fanya kwa utayari wako wewe wala usitegemee ifike zamu yako ufanyiwe sawa.

Katika maisha jifunze ku lose pia, katika safari ya maisha you will lose a lot of battles, utapoteza vitu na watu uwapendao, utakosa kazi unayoipenda sana, sasa jizoeshe mapema la sivyo utakuja kujinyonga. Hata mimi zamani nilikua soft kama wewe, niliteseka mnoo, but nilipata experience ya ku lose and now i understand unaeza kupata au kukosa cha msingi don’t lose hope.

Ushauri wangu tafuta pesa na status kijana. Hao rafiki zako wote watakupost mpaka ushangae. Na kama unataka kulipiza kisasi basi “BE SUCCESSFUL” this is the best revenge of all times

Ahsante
Asante kaka umenena, me mwenyewe nilikuwa soft sana zamani kumbe wananifanya fursa sasa hivi wanaonja joto la jiwe kabisa
 
Kwann jaman
We ni rafiki mwema, kama umemuhakikishia "wishing nyingi hadi washangae" kwenye birthday yake kwanini aendelee kuwa na hao wa mtaani kwake ambao hawathamini furaha yake. Sipendi aumie tena we kuwa nae bana.
 
Habarini za humu wadau juzi tarehe sita mwezi wa 12,nilikuwa nasherekea siku yangu ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 21...Basi nikajipostia picha yangu na baadhi ya maneno kujiwish happy birthday kwenye whatsapp status...Cha ajabu wale rafiki zangu kabisa wa karibu wa view tu status halafu hata comment ya kukuwish hamna,wengine kwenye birthday zao hadi picha zao status huwa naweka nikitarajia pia siku yangu ya kuzaliwa watafanya hivyo lakini hamna...Nina Gundu au?
Happy birthday[emoji258][emoji258]
 
Khaaa ungeenda kulalamikia friends zako ss mm nilijua shida yako ni kupata wishes

Kumbe shida yako ni kupata wishes za friends?!

Tafadhali kawalalamikie whatsup huku hawataona
Hivi na ww hbd yako lini vile mpenzi? Nisije kuwa kama marafiki wa mleta thread.
 
We ni rafiki mwema, kama umemuhakikishia "wishing nyingi hadi washangae" kwenye birthday yake kwanini aendelee kuwa na hao wa mtaani kwake ambao hawathamini furaha yake. Sipendi aumie tena we kuwa nae bana.

Ani pm basi
 
Kuna mambo mengi ya kufanya zaidi ya hiyo birthday party yako.

Hayo mambo yamebaki kwa akina dada ambao hawajaolewa, hivyo faraja zao na furaha na hasira zao wanazimalizia huko!

Siyo kila kitu ukitilie maanani! Yaani hilo tu ndiyo likukosanishe na marafiki zako!?

Happy birthday to you!
 
Kweli asee
 
We ni rafiki mwema, kama umemuhakikishia "wishing nyingi hadi washangae" kwenye birthday yake kwanini aendelee kuwa na hao wa mtaani kwake ambao hawathamini furaha yake. Sipendi aumie tena we kuwa nae bana.
Haha offer ishakua rejected hakuna namna tena
 
Mwanaume wa dar akilia lia hajapata bday wishes.

Haya wanaume wa mkoani ni muda wa kuvuna dengu sasa.
 
Back
Top Bottom