Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,594
Hahha kwani ni bday yako leo??
In advance, maana siku yenyewe naweza nisipate bahati ya kuwishiwa. Kwa hiyo nitaikumbukia hii yako.
Hahha kwani ni bday yako leo??
Umeongea kwa uchungu mnoo jamani!!Mimi ni binadamu pia nahitaji upendo vitu kama hivyo vinakuonesha uko pamoja na wengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaaa ungeenda kulalamikia friends zako ss mm nilijua shida yako ni kupata wishes
Kumbe shida yako ni kupata wishes za friends?!
Tafadhali kawalalamikie whatsup huku hawataona
Watu tuna matatizo madogo muda mwingine ila hatujui kujieleza[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa mtoto wa kiume haitoshi, hebu kuwa mwanaume.Mimi ni Me,kwani ukiwa wa kiume ndo huitaji kuwa cared?
Sifaham,..naandika nafuta,..ila sijui,..hiv mleta mada yuko sawa kwel..mbona ana sound ki shemale sanaKhaaa ungeenda kulalamikia friends zako ss mm nilijua shida yako ni kupata wishes
Kumbe shida yako ni kupata wishes za friends?!
Tafadhali kawalalamikie whatsup huku hawataona
Bado unanyonya hujakuaMimi ni binadamu pia nahitaji upendo vitu kama hivyo vinakuonesha uko pamoja na wengine
Unafanya kazi gan mzee babaPesa ninayo kawaida tu ya kunitosha
kwa umri wako kuna vitu unatakiwa uanze kujifunza visikusumbue maana unapoelekea kuna mambo makubwa zaidi ya kukuumiza kichwa yanakuja. Sasa kama mpaka sasa ubongo na moyo wako unaumia kwamba hujawekwa status na marafiki basi una hatari ya kushindwa kuhandle stress zinazokusubiri miaka kama saba ijayo.Mimi ni binadamu pia nahitaji upendo vitu kama hivyo vinakuonesha uko pamoja na wengine
Umenishinda tabiaaa jamaniWatu tuna matatizo madogo muda mwingine ila hatujui kujieleza[emoji38]
huyo ni bebe wake asiwasingizie marafik 😄 😄 😄 😄Mwenyewe nimemshtukia.. Marafiki ndo aumie hivyo??