IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,463
- 7,385
...hivi umewahi fikiria kuwa unachoona kama ni utabiri uliotabiriwa hiyo miaka 3000 iliyopita kama ni just mipango ya watu walioona mbele na wanaitekeleza step by step.Kitabu kiliandikwa miaka 3000 iliyopita lakini inatabiri mambo yanayotokea leo hii... Huwezi kufananisha na utabiri unaosemea wewe uo wa kama odds za kubet..
Mfano kipindi icho hata umeme haukuwepo lakini bibilia ilishazungumzia cashless society ambayo ndio inayoendelea leo hii..
Do your research. People perish for lack of knowledge.
....maake hiyo biblia na Quran kuna watu wanasema ni just project za hao hao wakubwa wa dunia mkuu.
....anyway_from each according to his/her ability to perceive issues.