Huu ni ukweli usiopingika kuhusu dini

Huu ni ukweli usiopingika kuhusu dini

yani inaeleweka kabisa kuwa no way shika elimu na pia utakula kwa jasho so hata ukeshe na mifungo mingi usemi haubadiliki
If you want to be strong learn how to fight alone. Mungu kafanya kazi yake, ni zamu yetu kufanya sasa kupitia yeye. Kwenye ukosefu wa maarifa ndiko tatizo lilipo. Imagine misingi ya dini katika kila dini, very complicated....kwnye ukristo kuna mbwembwe nyingi mno tofauti na wenzetu waislam.
 
We are gods ourself, but there is nothing like God sitting somewhere
 
Chief me sijasoma maelezo yako ktk uzi huu, hii ni sababu umenukuu maelezo mengi ktk vitabu ambavyo msingi wake sielewi. Bible ni right source kwa habari za Imani, sio kitabu kingine. So ukizungumzia imani ya kikristo hoja yako ijenge ktk iyo Biblia tofauti na hapo unajichanganya. Nadhani pia ni vzr kujua uwezo wa shetani juu ya pambano la Imani.
 
Kipengele kinachosema Mimi ni njia na uzima kwa kupitia kwangu utamuona baba (Mungu) ni uzushi kwani usipoamini Yesu ni Mwana wa Mungu hutaenda Mbinguni. Mungu aumbe Waislam, Wajapan, Wachina na wengi wasio Wakristu wapotee!!! For sure used to be a real Catholic but I'm no longer even a Christian. I'm doubting about resurrection, since Xtianity is centred at resurrection I'm not a Christian. I'm not an atheist I have my own faith
 
Wagonjwa wanapona, vipofu wanaona, vilema wanatembea...
Faith comes from hearing and hearing from the word of God. Unless you read the word of God. You can never be convinced. Na kama umekataa kuisoma bibilia basi sina la kusema..
Ila mwisho wa siku kila got litapigwa.. Wengi.. Ata Albert Einstein alihangaika kama wewe ila mwishowe akakubali tu. Na mungu atabaki tu na utukufu wake.. Usipomuabudu wewe atafufua mawe itamuabudu pia. Chaguo ni lako.
Mkuu unajidanganya,ingekuwa maneno ni ya kweli manakanisa yangegeuka kuwa hospitali wakristo wasingeitaji kwenda hospital wakiumwa,hospital zingebaki kwa dini nyingne na ukisema hawana iman muongo je ww toka uzaliwe au familia yako yote wameumwa mara ngapi ugonjwa wowote na wametumia hiyo faith au wameenda hospital na wametumia dawa? Ingekuwa kwel mkristo akiumwa malaria kanisani,uti kanisani,kisukari kanisi kwann wanaenda hosptali km faith is healing? Na ktk pharmacology kuna kitu kinaitwa pharmacokinetics ambapo inaelezea jinsi dawa inavyofanya kazi mwilini mpk mtu anapona na ww nipe pharmacokinetics ya faith inafanyaje kazi ukishndwa inaamanisha unalolisema hulijui
 
Hizi ndio huwaga akili za masikini eti tajiri anaishi kwa shida, huu ni ujuha wa hali ya juu kabisa, usifanye kazi basi Kashinde kanisani ukingoja kwenda Paradiso ambayo huna hakika nayo.
We ni tajiri?
 
si umesikia kuwa papa ana lalamika kuwa biblia iko out of date so wana pendekeza ibadilishwe
 
Chief me sijasoma maelezo yako ktk uzi huu, hii ni sababu umenukuu maelezo mengi ktk vitabu ambavyo msingi wake sielewi. Bible ni right source kwa habari za Imani, sio kitabu kingine. So ukizungumzia imani ya kikristo hoja yako ijenge ktk iyo Biblia tofauti na hapo unajichanganya. Nadhani pia ni vzr kujua uwezo wa shetani juu ya pambano la Imani.
mkuu unaiamini biblia na maandiko yake?
 
Wagonjwa wanapona, vipofu wanaona, vilema wanatembea...
Faith comes from hearing and hearing from the word of God. Unless you read the word of God. You can never be convinced. Na kama umekataa kuisoma bibilia basi sina la kusema..
Ila mwisho wa siku kila got litapigwa.. Wengi.. Ata Albert Einstein alihangaika kama wewe ila mwishowe akakubali tu. Na mungu atabaki tu na utukufu wake.. Usipomuabudu wewe atafufua mawe itamuabudu pia. Chaguo ni lako.
mgonjwa gani aliyepona?acha kupotosha wewe
nionyeshe mgonjwa aliyekatika mguu au mkono ukaota kwa maombezi
 
niambie tafsiri ya hii
Matthew 16:27-28
"Truly I say to you, there are some of those who are standing here who shall not taste death until they see the Son of Man coming in His kingdom."
Biblia mbona limejibu ilo swali vizuri soma injili ya yohana yote utapata jibu na pia nataka ujifunze maneno ya Mungu ndomana nimekwambia usome yote,ningeweza kukwambia usome sura ya ngapi ila kwakua nataka ujifunze soma yote
 
acha blah blah,imelijibu wapi?
huoni kuwa yesu wako hapa ni muongo?
hawa watu bado wapo hai?
neno la mungu halitakiwi kuwa ambigious,...
mnaabudu msichokijua...
jibu na haya ili nikuchoshe kabisa

BIBLE’S CONTRADICTIONS

1. Genesis chapter 1
God created adam and eve together

Genesis chapter 2
God created adam and then eve later

2. Genesis 2:7 and 2:19
God created a man and then the animals

Genesis 1:24-27
God created the animals first and then a man

3. Genesis 32:30 and numbers 14:14
Men have seen god

John 1:18
No man has seen god

4. Jeremiah 3:12
God does not keep anger forever

Jeremiah 17:4
God does keep anger forever

5. Mathew 1:20
Angel appeared to joseph

Luke 1:28
Angel appeared to mary

6. Mathew 8:5
Centurion came to jesus

Luke 7:3
Centurion sent his elders

7. Mathew 4:5-8
Satan took Jesus to temple and then mountain

Luke 4:5-9
Satan took Jesus to mountain and then temple

8. Mathew 20:29
Two blind men were healed on the road

Mark 10:46-47
One blind man was healed on the road
 
kumbe ndio icho kilichokuwa kinakuchanganya?kwanza ujue ni vigumu kumwelewa Yesu kama ukisoma biblia kama gazeti inabidi uelewe Yesu alikua anamaanisha nini, mwanafunzi wa Yesu yohana ndio aliekua ananenwa pale na Yesu ndomana ukisoma injili ya yohana wanafunzi wa yohana wanajibu pia Mtume yohana ndio aliyeandika ufunuo na aliona ule utukufu wa Yesu ,uweza na nguvu zake soma ufunuo wa yohana 1:8 na kuendelea ndo utapata jibu la swali lako kwamba kuna watu hawatakufa hadi wamwone mwana wa Adamu akija katika ufalme wake YesUu aliongea katika muktadha huu
 
KUNA USEMI HADI LEO WANAAMINI KUWA SIKU MOJA MBINGUNI NI SIKU ELFU MOJA DUNIANI ILA UKIANGALIA DUNIA IMEPITA MIAKA ZAIDI YA BILLIONI OF YEARS HADI PALE WALIPO JUA KUHESABU NA KUANZA MWAKA 1 HADI SASA 2019
BAADHI YA COMMENT ZA HIGH LIGHT
[/COLOR]

Fuatilia the universe ili ufute ujinga. Kwa ufahamu wako unadhani mwaka mmoja wa dunia ni sawa tu na mwaka mmoja wa pluto!!
 
Back
Top Bottom