hilo sija pingana na wewe inafahamika kila mahali tena kwa ushahidi wa kutosha ila napinga kuwa siku moja mbingu ni sawa na miaka elfu moja ina maana kwa sasa mbinguni si siku ya pili tokea ime umbwa dunia na ukiangalia history vizuri ina sema dunia ime pita billioni of years mpaka sasa so? bado kuna uongo mwingi sana na hasa ukiangalia kuna wengine wana sema kuwa mungu alituumba weusi kwakuwa sisi ni watenda dhambi.Fuatilia the universe ili ufute ujinga. Kwa ufahamu wako unadhani mwaka mmoja wa dunia ni sawa tu na mwaka mmoja wa pluto!!
maneno aongee yesu ufafanuzi akatoe yohana🙁kumbe ndio icho kilichokuwa kinakuchanganya?kwanza ujue ni vigumu kumwelewa Yesu kama ukisoma biblia kama gazeti inabidi uelewe Yesu alikua anamaanisha nini, mwanafunzi wa Yesu yohana ndio aliekua ananenwa pale na Yesu ndomana ukisoma injili ya yohana wanafunzi wa yohana wanajibu pia Mtume yohana ndio aliyeandika ufunuo na aliona ule utukufu wa Yesu ,uweza na nguvu zake soma ufunuo wa yohana 1:8 na kuendelea ndo utapata jibu la swali lako kwamba kuna watu hawatakufa hadi wamwone mwana wa Adamu akija katika ufalme wake YesUu aliongea katika muktadha huu
sasa hapo ujaelewa nini? MI nimekwambia maana ya yale maandiko kulingana na mtiririko ulivyo kwani Yohana ndio mtume wa mwisho kufa na yeye ndio aliemwandika Yesu katika ule ufunuo aliefunuliwa na Yesu mwenyewe na baada ya hayo yohana akafa inabidi uwe mwepesi wa kuelewa ila taratibu utaelewa maana jana ulisema biblia ni hadithi leo unaomba kujua ufafanuzi mwanzo mzurimaneno aongee yesu ufafanuzi akatoe yohana🙁
yani ni kama magufuli na kauli zake tata halafu ufafanuzi wanatoa mawaziri
mkuu you are in a deep sleep
dozi ya sunday school uliyopigwa ni kubwa sana
hadi wengine wanasema wamesha enda mbinguni na kurudiDunia kama dunia ila siri kubwa mno ili kumtawala mwenye akili finyu lazima utengeneze sheria nzr tu Africa ilikuwa haina dini za kwenye makaratasi ila sasa tumezishika mapka tunawapita hata wao
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 noma sanamaneno aongee yesu ufafanuzi akatoe yohana🙁
yani ni kama magufuli na kauli zake tata halafu ufafanuzi wanatoa mawaziri
mkuu you are in a deep sleep
dozi ya sunday school uliyopigwa ni kubwa sana
Time is relative. Ukiwa na bahati ya kufanya deep meditation hadi ukaweza "kufree your mind from your body" na ukafanya hivyo. Utaelewa hilo.hilo sija pingana na wewe inafahamika kila mahali tena kwa ushahidi wa kutosha ila napinga kuwa siku moja mbingu ni sawa na miaka elfu moja ina maana kwa sasa mbinguni si siku ya pili tokea ime umbwa dunia na ukiangalia history vizuri ina sema dunia ime pita billioni of years mpaka sasa so? bado kuna uongo mwingi sana na hasa ukiangalia kuna wengine wana sema kuwa mungu alituumba weusi kwakuwa sisi ni watenda dhambi.
nimekuwekea contradictions za kwenye bible yako lakini hjarefute hata mojasasa hapo ujaelewa nini? MI nimekwambia maana ya yale maandiko kulingana na mtiririko ulivyo kwani Yohana ndio mtume wa mwisho kufa na yeye ndio aliemwandika Yesu katika ule ufunuo aliefunuliwa na Yesu mwenyewe na baada ya hayo yohana akafa inabidi uwe mwepesi wa kuelewa ila taratibu utaelewa maana jana ulisema biblia ni hadithi leo unaomba kujua ufafanuzi mwanzo mzuri
Uongo lazima upingwe.Endeleeni kujifariji tu hivyo hivyo eti hakuna jehanamu.. ni bora kuacha vitu kama vilivyo kuliko kupinga kabisa
Thibitisha kwanza kama Mungu yupo!Mkuu Mungu yupo na hana upendeleo! Unasema mbona kuna matajiri sana na maskini sana, hivi unadhani tajiri ana ponda raha sanaaa kuliko maskini? Usilo lijua ni kwamba tajiri hana raha kabisa siku zake ni maangaiko yasiyo isha. Jiulize wewe pengine hapo ulipo una afya nzuri macho yako na mikono yako vyote vinashuhudia jinsi unavyo mponda Mungu aliyekupa hivyo vyote. Ange kuwa anaupendeleo au hukum yake ni kama binadam si sahivi ange kufanya kipofu?
Imani kuhusu nini maana hata kuamini kuwa mchana ntakula tena nayo ni imani!!imani yako wewe ni ipi?
Kama hakuna Mungu kuna nini!! Nawewe umejuaje hayo mengine ni uongo??Thibitisha kwanza kama Mungu yupo!
Hayo mahubiri mengine ni uongo mtupu.
Maana yake hakuna kitu.Nimejua kwa sababu yanajikanganya menyewe.Kwa hiyo hata kabla hujasema ya uongo,menyewe tu yanajieleza kuwa ni ya uongo.Kama hakuna Mungu kuna nini!! Nawewe umejuaje hayo mengine ni uongo??
Vipi kuhusu uchawi nao niuongo?Maana yake hakuna kitu.Nimejua kwa sababu yanajikanganya menyewe.Kwa hiyo hata kabla hujasema ya uongo,menyewe tu yanajieleza kuwa ni ya uongo.
Tuanze kwanza na maana ya maneno hayo ndiyo nikujibu,uchawi ni nini!?Vipi kuhusu uchawi nao niuongo?
Uchawi ni wale wote wasiomjua Mungu!!!Tuanze kwanza na maana ya maneno hayo ndiyo nikujibu,uchawi ni nini!?
kwaio imani yako wewe mchana utakula?Imani kuhusu nini maana hata kuamini kuwa mchana ntakula tena nayo ni imani!!
ukisoma biblia ili utafute makosa bila kuangalia muktadha utaona makosa mengi tuu kwa upande wako kwani wewe utakua unataka kuoanisha kila kitu bila kuangalia mazingiranimekuwekea contradictions za kwenye bible yako lakini hjarefute hata moja
Hapo ndipo kuna thibitisha kama mungu hayupo ndio maana mabaya mengi kila mtu anafanya analowaza ktk akili yakeHaya yote ni ya binadamu Mungu hakuwa na ubaya wowote kwa watu wake alitaka dunia iwe sehemu salama ya kuishi binadamu akaleta mfumo wa kunyonyana mfumo uliowagawa watu kwa utajiri wao na umasikini wao(ubepari)huu ni ushetani ambao ndio chanzo cha yote haya dini nazo zipo kwa namna ya ubinadamu lazima tukae kila kitu dili ukristo na uislam watu tu wameleta