BAADHI YA COMMENT ZA HIGH LIGHT
Imani hizi!!
Kuna wakati nakengeuka, if God was do loving, asingeruhusu watu waumie kiasi hiki, duniani watu wanauliza sana.
The wealthiest make only 1℅ of the world's population. Watu 8 duniani wana utajiri ambao unamilikiwa na 3.6 billion poor people. Where is God to make the world "even"?
mwache afe kwa ujinga wake,hatofautiani na jirani yangu alikuwa ni mwathirika wa HIV na akawa anatumia ARV akawa vizuri tu,sijui mpuuzi gani akamdanganya aokoke kwenye kanisa flani linaitwa SILOAM,huko wakamwambia aache dawa YESU atamponya,wee...saiv ana mwezi analiwa na mchwa huko chini ya kaburi,hivi haya makanisa huwaga yanasajiliwa kwa kutumia vigezo gani?
na waumini wao huwaga wana akili gani hadi tushindwe hata kushabihiana?
kifupi kila mlokole huwaga namwona kama ubongo wake una mafuta ya taa..
Mkuu, duniani watu wanaumia sana, maisha magumu, masikini ni wengi sana. Mungu anaruhusu vipi watu wake waumie kiasi hiki, kwa nini asifanye jambo haya yaishe? Ukienda sehemu kama ocean road, muhimbili na mahospitalini ndio utajua kuwa people are really suffering.
Kwa nini Mungu asitihurumie, asitupe ahueni sote tukafurahia maisha, kwa nini only 1% ya wanadamu ndio wana maisha ya kitajiri?
Wapagani kibao wanaishi bomba sana, wewe na mimi tunaosali/ swali kila siku tunaishi terrible lives.
At times you think hizi ni propaganda za mtu mweupe kumteka akili mtu mweusi, wajua sisi tunabeba kila tunaloambiwa, tumekuwa mateka wa watu waeupe.
Hao weupe walioleta ukristo wala hawana time na imani yao.
Kuna mdachi(Dutch) mmoja aliwahi kuniambia, religion is for poor people, even in Netherlands only the poor go to church, there's nothing like Jesus or God. Nilibaki mdomo wazi.
View attachment 781166
Neno "dini" kama lilivyotumika katika karne ya 21 haina tafsiri ya wazi ya ukoloni katika lugha zisizo za Ulaya. Mwanadamu wa kibiblia Daniel Dubuisson anaandika kuwa "kile Magharibi na historia ya dini katika wake wake wamepinga chini ya jina 'dini' ni ... kitu cha pekee kabisa, ambacho kinaweza kuwa sahihi tu na yenyewe na historia yake mwenyewe." Historia ya ushirikiano wa tamaduni nyingine na kikundi cha "dini" kwa hiyo ni mwingiliano wao na wazo ambalo liliendelezwa kwanza katika Ulaya chini ya ushawishi wa Ukristo.
View attachment 781208
Wengi huko makanisani hutumia picha ya Brian Deacon kumhusisha Yesu, that's unacceptable kabisa.
View attachment 781255
ANGALIA HIYO VIDEO HAPO JAMAA ANATUPWA TU AKIMALIZA ANACHUKUA MPUNGA WAKE SAFI