Huu ni ukweli usiopingika kuhusu dini

Huu ni ukweli usiopingika kuhusu dini

Mkuu Mungu yupo na hana upendeleo! Unasema mbona kuna matajiri sana na maskini sana, hivi unadhani tajiri ana ponda raha sanaaa kuliko maskini? Usilo lijua ni kwamba tajiri hana raha kabisa siku zake ni maangaiko yasiyo isha. Jiulize wewe pengine hapo ulipo una afya nzuri macho yako na mikono yako vyote vinashuhudia jinsi unavyo mponda Mungu aliyekupa hivyo vyote. Ange kuwa anaupendeleo au hukum yake ni kama binadam si sahivi ange kufanya kipofu?
kweli chaza
 
Duniani tunapita tuu!pesa zitakusaidia huku duniani tu kule ni amali ulizotenda ndio zitakubeba.
Haitajalisha dini yako wala haiyumkini una pesa au huna pesa!matendo yako bora ndo yatakuokoa.kuna watu maskini wanaupata moto wa duniani na huko wakifa wataukuta uliochochewa vizuri kabisa.
Wako wenye pesa wanaotoa sadaka na kusaidia wenye shida mbalimbali hao hawatajuta.
Kama una wivu ukimkuta tajiri huko anaendelea kula bata usishangae!wakati we ulikuwa maskini hata kula ya shida ukatupwa jehanam tena.
hakuna moto ni stori za uongo za kutungwa kwa ajiri ya wajinga kama wewe.
 
Endeleeni kujifariji tu hivyo hivyo eti hakuna jehanamu.. ni bora kuacha vitu kama vilivyo kuliko kupinga kabisa
hakuna jehanum hao waliosema kuna jehanum kwenye biblia na quran ndio waliotuambia dunia tambarare kama walishindwa jua umbo la dunia inayoonekana waliwezaje jua habari za jehanum isiyoonekana
 
Hivi kwanini kila ukizungumziwa ukristo lazima watajwe na wazungu? hivi uhusika wao wazungu kwenye ukristo ni upi?

Ni kuleta ukristo afrika au wao ndiyo wameanzisha ukristo?
 
Ili uielewe dini unahitaji utulivu mkubwa sana wa kiroho na kiakili
 
bila wao ungekuta mpaka leo wewe ni mganga
 
bila wao ungekuta mpaka leo wewe ni mganga
Kwahiyo uhusika wa wazungu kwenye ukristo ni kuleta dini afrika tu na ndiyo sababu sie waafrika huwa husisha wazungu na ukristo?

Mimi nilidhani wazungu wanahusika kwenye ukristo zaidi ya kuuleta afrika tu.
 
ni sawa na hivi ameanzisha ukimwi akakuletea then yeye muanzilishi kwao asilimia 0.2% ndo wanao tena yaweza kuwa hamna kabisa, ila wewe sasa hadi leo ni kuzika tu, na anapiga pesa na dawa zao za arv. ebola,
 
Kwahiyo uhusika wa wazungu kwenye ukristo ni kuleta dini afrika tu na ndiyo sababu sie waafrika huwa husisha wazungu na ukristo?

Mimi nilidhani wazungu wanahusika kwenye ukristo zaidi ya kuuleta afrika tu.
ndio wazungu wana husika vizuri tu, kama ume soma history kiundani
 
ndio wazungu wana husika vizuri tu, kama ume soma history kiundani
Sasa cha ajabu ni nini? maana hata wao huo ukristo pia waliletewa nao wakauleta huku,sioni sababu ya kuendelea kuwataja kama vile wazungu walianzisha ukristo kwa ajiri ya waafrika tu na hivyo ukristo upo afrika tu.
 
safi sana, si unaona juzi tu mtu gunia lime kwama kichwani

Mr. Sky walker, imani za matambiko zinaongeleaje masuala ya peponi na motoni? Mwanzilishi wake ni nani?

Sipo kiushindani bali nataka kufahamu.
 
Mr. Sky walker, imani za matambiko zinaongeleaje masuala ya peponi na motoni? Mwanzilishi wake ni nani?

Sipo kiushindani bali nataka kufahamu.
ukiweza kuangalia picha nahisi utaelewa kila kitu we tazama hizo picha vizuri utaelewa ukweli wote
 
Back
Top Bottom