Huu ni mwanzo tu jeshi litatumika sana?

Huu ni mwanzo tu jeshi litatumika sana?

Kaka yangu sitamtaja jina ambaye yeye ni mtaalamu wa masuala ya utafiti na sera ,mara baada ya kupita siku 100 tangu jiwe aapishwe kushika nafasi ya urais alinipigia simu akaniambia

"Mkuu tangu sasa tuhesabu tumekwishapoteza miaka 10.Nilipomuuliza kwanini hakunijibu zaidi ya kusema wait...!Sasa napata jibu taratibu
duh
 
Aaah kumbe na wewe ni fisadi pole sana awamu hii fanyakazi za halali tu kama tunavyofanya wenzio na tunapata pesa ya kutosha tu pia punguza matumizi ya siyo ya lazima mkuu. Huo ndiyo ushauri wangu
bashite una kazi gani ya halali mwizi mkubwa fisadi na jambazi uliyekubuhu
 
bashite una kazi gani ya halali mwizi mkubwa fisadi na jambazi uliyekubuhu
Njoo nikuajiri ila usiniibie ukiiba tu na kuchoma moto wa petrol. Sina mchezo mimi.
 
Kikundi cha washamba mumeshikwa woga haija pata tokea munamuogopa siro sasa munataka msukuma mwenzenu CDF awasaidie kutawala no wonder Magu anamhonga bonge lla nyumba sasa awahonge wote wale ambao amewakaushia wanaweza mkausha yeye mapema kabla juwa halizama sio wote wanapenda dhuluma kwa wananchi
Mshamba mwenyewe
 
Wamekuwaje
Kwenye mfano wa "I Frankenstein": Wanajeshi wakizoeleshwa, mwishowe wataona nI haki yao kushiriki kwenye uchumi wa nchi, na wakishaozea kuwaondoa ni kazi!, badala ya ulinzi na usalama wa mipaka, na pengine ujenzi wa Taifa inapobidi kwenye shughuli muhimu kama ujenzi wa madaraja, barabara na reli siyo mbaya.

Mfano wa Iddi Amin Dadaa: Yeye alikuwa ndo mkuu wa majeshi, na alizoeleshwa miradi akiwa jeshini, alipofanya ufisadi jeshini, hakutaka kushughulikiwa. Akapindua nchi. Utamu ulinoga.
 
Kaka yangu sitamtaja jina ambaye yeye ni mtaalamu wa masuala ya utafiti na sera ,mara baada ya kupita siku 100 tangu jiwe aapishwe kushika nafasi ya urais alinipigia simu akaniambia

"Mkuu tangu sasa tuhesabu tumekwishapoteza miaka 10.Nilipomuuliza kwanini hakunijibu zaidi ya kusema wait...!Sasa napata jibu taratibu
majizi wanajulikana tyu
 
Hakuna wa kupindua nchi
Na haiwezi kutokea, pia kati ya hayo uliyoyataja sijui la timu yetu ya taifa limo? ningepeda liwepo maana jw hawawezi kuliedekeza dude linaloitwa bichwa la mwendawazimu. Nakumbuka siku ile pale ikuluni aliligisia na wazo lake nililipenda though kina jkt oljoro na Ruvu jkt sijui ukakamavu wao upo wap ktk soka.
 
Bila ccm na JPM mtu kichwa cha samaki kama wewe ambaye hujawahi faulu mtihani wowote hata wa darasa la nne ulishindwa hata kutungisha mimba bado hujaweza sasa utaacha kulamba viatu vyake ha ha endelea na vita vya mashofa bro

You're a CERTIFIED FOOL.
 
Kaka yangu sitamtaja jina ambaye yeye ni mtaalamu wa masuala ya utafiti na sera ,mara baada ya kupita siku 100 tangu jiwe aapishwe kushika nafasi ya urais alinipigia simu akaniambia

"Mkuu tangu sasa tuhesabu tumekwishapoteza miaka 10.Nilipomuuliza kwanini hakunijibu zaidi ya kusema wait...!Sasa napata jibu taratibu
Kaka yako anaitwa nani mkuu
 
Magu akiondoka atakuwa hajalisaidia Taifa nadhani angeanza kuimarisha taasisi ziwe na meno kwa kuziwekea mfumo mzuri na sheria ambazo zitaishi miaka kadhaa, japo kutumia Jeshi si vibaya ila hatuwezi kufika kwa namna hiyo
Ndo mpango wetu huo
 
Jeshi la kulinda mipaka ya raia linapoingia mitaani... Tujifunze kisa cha kunguru... Hafugiki... Wakimaliza na raia? Nyoka hana rafiki
Nilitaka kutia neno hapa ila manka ndiyo 4 years now dada yake 7 years ngoja wanangu waanze kujitambua nitachangia
 
Back
Top Bottom