Huu ni mwanzo tu jeshi litatumika sana?

Huu ni mwanzo tu jeshi litatumika sana?

Kaka yangu sitamtaja jina ambaye yeye ni mtaalamu wa masuala ya utafiti na sera ,mara baada ya kupita siku 100 tangu jiwe aapishwe kushika nafasi ya urais alinipigia simu akaniambia

"Mkuu tangu sasa tuhesabu tumekwishapoteza miaka 10.Nilipomuuliza kwanini hakunijibu zaidi ya kusema wait...!Sasa napata jibu taratibu

Kwahiyo alikuwa anataka na anapendelea Tanzania yetu iendelee Kuibiwa na Kuchezewa au? Akikupigia tena Simu baadae au Siku nyingine mwambie GENTAMYCINE kamwambia Yeye ni bonge la ' Popoma ' tena lililotukuka kabisa. Yaani badala ya Kuonyesha Uzalendo wenu na nyie kwa Kusimamia ' rasilimali ' za Tanzania mnamwona Rais Dkt. Magufuli anayezipigania Kuzilinda na Kuziweka kwa maslahi ya Vizazi vijavyo ni Mpuuzi? Kuna Watu mnaudhi hadi nakosa uvumilivu nanyi na huenda ningekuwa karibu nanyi basi tungeshagawana mapema mno Majengo mawili makubwa ya Serikalia ambayo ni Mochwari na Gerezani.
 
Foolish!
 
Mkuu umepatwa na nini!...
 
Niongezee tusi jingine tafadhali ambalo labda halipo katika Benki Kuu yangu ya Matusi yote unayoyajua na yale usiyoyajua hapa Duniani hasa ukizingatia kuwa hapa pia ndiyo Makao Makuu yake ( PENTAGON ya maneno Shombo na Umiza )
 
army,army,army kila kitu sasa ni army.
Wale wa kakhi wakae pembeni.
 
Heri ya siku kuu ya Maulid

Bwana Yesu aendelee kuwa nanyi

Operation Kubwa inakuja na taasisi pekee inayoonekana kuwa na weledi kwenye operation hiyo ni JW tu ,

Watu wanajiuliza kwanini Jeshi?
Sababu ni kwamba Jeshi letu ni wachapakazi na wanatii amri za wakuu,

Kuna mambo mengi ya msingi ambayo walisema raia wa kawaida uishia kuvuruga,

Mimi pamoja na kwamba jeshi litaenda kwenye operation hiyo nimeona pia jeshi liende mpaka kwenye kuperate maeneo haya

A.Miradi yote ya serikali kama vile UDART madereva wote wawe wanajeshi,

B.Vivuko vyote nchini viendeshwe na manahodha wanajeshi

C.Shule zote zilindwe na jeshi

Nadhani hata ninyi mna mapendekezo,

Ila jeshi likimaliza kusimamia bureau de changes za Arusha pia kuna za Masaki bado kuna mchezo wa kuficha hela ndani badala ya kuziweka bank, zinanuka uvundo na unga unga, hizo dolla

MAENEO NI MENGI SANA
Nenda Tegeta pale yalipo maduka ya vifaa vya ujenzi..kisha kaa pembeni kama na wewe ni mnunuzi..na chunguza ambavyo serikali inaibiwa VAT kwa watu kupewa risiti za uongo ..mtu ananunua vifaa vvya laki tano anapewa risiti ya shs 50 000 yaani 10% tu ya gharama halisia..

Hivyo ndivyo mama Tanzania anavyoibiwa..

Nyie wapinzani Tumuunge mkono rais
Shut up your ass! muunge mkono peke yako na genge lenu.
 
Mkuu umepatwa na nini!...

Tatizo lenu Watu wa CHADEMA, Wanaharakati na wale mnaomchukia Rais Dkt. JPM na hata wana CCM mnadhani kwamba GENTAMYCINE nikiwa humu nitakuwa upande Wenu ili niwaridhisheni na mfurahi. Sasa leo hii kupitia Kwako natamka wazi kwamba Mimi ni Mtanzania huru ambaye nawapenda Watu wote bila kujali tofauti zao zozote zile.

Rais JPM akipatia nitamsifia na akikengeuka nitamkosoa haraka sana vile vile Wapinzania nao hasa wana CHADEMA na ACT nao pia wakipatia watakoga Kongole zangu ila wakikosea sitowabakisha na nitawasema hapo hapo. Mimi siyo Mwanachama hai na halali wa CCM ila ni Shabiki wa kweli na mtiifa wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) na nitaacha Kukishabikia pale tu Jeneza langu likiwa linashushwa Kaburini.

Hata hivyo Mimi kuwepo Kwangu na ' mahaba niue ' kwa CCM haimaanishi kuwa eti wakikosea basi nitawabeba au kuwapamba na nashukuru Mungu kuwa hata wana CCM waliopo hapa wanalijua hili na wapo ambao wamefikia hatua hadi ya kunifuata ' Private ' na kusema kuwa nasema ukweli na kwamba Mimi siyo Mnafiki hadi kusema kwamba yapo baadhi ya mambo ambayo nikiyaibua basi nao wanayatafakari na ikibidi kuyafanyia Kazi.

Na tena nawaombeni nyote kuwa acheni na msikariri kuwa GENTAMYCINE yupo upande Wenu kwani mnakosea na mnapoteza muda Wenu bure. Tokea nizaliwe na kote nilikopita, kuishi na kufanya mambo yangu sijawahi Kujulikana kuwa Mimi nipo wapi halafu huwa ' sitabiriki ' na sipendi pia ' kutabirika ' kwa hali yoyote ile.

Kwa hili la leo naungana na Rais wangu Dkt. Magufuli kuwa kwa nchi ilipokuwa na ilipofikia acha awatumie hao hao JWTZ na tena naomba nimshauri Mheshimiwa Rais wangu kwamba kama ataona inafaa hata huko mbeleni akiamua sasa Taasisi na Ofisi zote za Serikali na Nyeti hadi maeneo mengine awatumie JWTZ naomba afanye hivyo na Mimi nitamuunga mkono kwa 100% zote.

Nuneni mtakavyonuna ila ' Mwanamume ' nimeshamaliza rasmi na huu ndiyo Msimamo wangu na ndiyo nitakavyokuwa daima.
 
Jeshi liwe “moderators” wa Jamii Forum, hasa jukwaa la siasa!
Utafanya wanajamvi wahamie Kenya talk, Sautikubwa na kwingineko!

Na usifikiri watu watageuka misukule ghafla sabb ya hao.. Rais Hosni Mubarak wa Misri ambaye alikuwa jenerali wa jeshi aliyetawala kwa mkono wa chuma, mwishowe alilazimika kutii nguvu ya umma
 
Wengi tunadai lisiti sio kwasababu ya kukatwa kodi bali ni uhalali wa bidhaa uliyonunua tusijeambiwa tumeiba, au umenunua mtaani. Mwananchi ambaye anahisi hanufaiki na rasilimali za nchi yake, hataona umuhimu wa kudai lisiti. .Mwananchi mwenye manung'uniko, hana furaha akiamini matatizo yake yanasababishwa na serikali yake hawezi kuwa mzalendo, pia haoni umuhimu kudai lisiti.
Je inawezekana mwalimu ambaye anakaribia kustaafu, hana hata nyumba alitegemea angepata kiinua mgongo 80 m angejenga na kununua NOA sasa anaambiwa atalipwa 12m na pension ya kila mwezi itaongezeka anaweza dai lisiti baada ya kununua bidhaa ili serikali ipate kodi?
 
Hawa JWTZ kwa miaka mingi walikuwa wamelala usingizi fofofo hadi Mhamiaji haramu akaja hapa na akafanikiwa kutwaa madaraka makuu ya nchi...

Sada naomba JWTZ waamke na waendelee kutumika hivyo hivyo ili hatimaye basi wamfyekelee mbali huyu Mkoloni wa Kihutu aliyejipenyeza nchini mwetu...

INAWEZEKANA WAKIAMUA!
Hahahaha
 
Back
Top Bottom