Huu ni mwanzo tu jeshi litatumika sana?

Huu ni mwanzo tu jeshi litatumika sana?

Kaka yangu sitamtaja jina ambaye yeye ni mtaalamu wa masuala ya utafiti na sera ,mara baada ya kupita siku 100 tangu jiwe aapishwe kushika nafasi ya urais alinipigia simu akaniambia

"Mkuu tangu sasa tuhesabu tumekwishapoteza miaka 10.Nilipomuuliza kwanini hakunijibu zaidi ya kusema wait...!Sasa napata jibu taratibu
Atakuwa alimaanisha miaka kumi ya kutokuiba ndo maana hajakupatia jibu. Lakini kwa watanzania ni miaka 10 ya weledi.
 
Ikimpendeza Mwenyezi Mungu ili watu wake wa Tanzania tutambue thamani ya utanzania wetu, acha jeshi linyooshe mambo.

China had Mao....USSR had Stalin ... sisi tuna nani? Tunaogopa kupasua miamba ila tunalilia maendeleo. Eti tukishitaki kwa wazungu nchi itabadilika....nani kasema? Nchi tuibadili wenyewe kwa kuacha magumashi na kufikiria jawabu liko Ulaya au litapatikana kwa kuisaliti Tanzania
 
Heri ya siku kuu ya Maulid

Bwana Yesu aendelee kuwa nanyi

Operation Kubwa inakuja na taasisi pekee inayoonekana kuwa na weledi kwenye operation hiyo ni JW tu ,

Watu wanajiuliza kwanini Jeshi?
Sababu ni kwamba Jeshi letu ni wachapakazi na wanatii amri za wakuu,

Kuna mambo mengi ya msingi ambayo walisema raia wa kawaida uishia kuvuruga,

Mimi pamoja na kwamba jeshi litaenda kwenye operation hiyo nimeona pia jeshi liende mpaka kwenye kuperate maeneo haya

A.Miradi yote ya serikali kama vile UDART madereva wote wawe wanajeshi,

B.Vivuko vyote nchini viendeshwe na manahodha wanajeshi

C.Shule zote zilindwe na jeshi

Nadhani hata ninyi mna mapendekezo,

Ila jeshi likimaliza kusimamia bureau de changes za Arusha pia kuna za Masaki bado kuna mchezo wa kuficha hela ndani badala ya kuziweka bank, zinanuka uvundo na unga unga, hizo dolla

MAENEO NI MENGI SANA
Nenda Tegeta pale yalipo maduka ya vifaa vya ujenzi..kisha kaa pembeni kama na wewe ni mnunuzi..na chunguza ambavyo serikali inaibiwa VAT kwa watu kupewa risiti za uongo ..mtu ananunua vifaa vvya laki tano anapewa risiti ya shs 50 000 yaani 10% tu ya gharama halisia..

Hivyo ndivyo mama Tanzania anavyoibiwa..

Nyie wapinzani Tumuunge mkono rais
Sawa sawa.......
 
Hatari
 
Kwahiyo alikuwa anataka na anapendelea Tanzania yetu iendelee Kuibiwa na Kuchezewa au? Akikupigia tena Simu baadae au Siku nyingine mwambie GENTAMYCINE kamwambia Yeye ni bonge la ' Popoma ' tena lililotukuka kabisa. Yaani badala ya Kuonyesha Uzalendo wenu na nyie kwa Kusimamia ' rasilimali ' za Tanzania mnamwona Rais Dkt. Magufuli anayezipigania Kuzilinda na Kuziweka kwa maslahi ya Vizazi vijavyo ni Mpuuzi? Kuna Watu mnaudhi hadi nakosa uvumilivu nanyi na huenda ningekuwa karibu nanyi basi tungeshagawana mapema mno Majengo mawili makubwa ya Serikalia ambayo ni Mochwari na Gerezani.
Magufuli anapigania tumbo lake taangu atawale ameingia kwenye ufisadi usio na kipimo na kikundi chake cha wahuni na matapeli wa kisiasa kama akina makonda gambo na mnyeti polepole na Msukuma ndio wanaovuta hii nchi kuwa zero kwenye maendelo
 
Tatizo lenu Watu wa CHADEMA, Wanaharakati na wale mnaomchukia Rais Dkt. JPM na hata wana CCM mnadhani kwamba GENTAMYCINE nikiwa humu nitakuwa upande Wenu ili niwaridhisheni na mfurahi. Sasa leo hii kupitia Kwako natamka wazi kwamba Mimi ni Mtanzania huru ambaye nawapenda Watu wote bila kujali tofauti zao zozote zile.

Rais JPM akipatia nitamsifia na akikengeuka nitamkosoa haraka sana vile vile Wapinzania nao hasa wana CHADEMA na ACT nao pia wakipatia watakoga Kongole zangu ila wakikosea sitowabakisha na nitawasema hapo hapo. Mimi siyo Mwanachama hai na halali wa CCM ila ni Shabiki wa kweli na mtiifa wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) na nitaacha Kukishabikia pale tu Jeneza langu likiwa linashushwa Kaburini.

Hata hivyo Mimi kuwepo Kwangu na ' mahaba niue ' kwa CCM haimaanishi kuwa eti wakikosea basi nitawabeba au kuwapamba na nashukuru Mungu kuwa hata wana CCM waliopo hapa wanalijua hili na wapo ambao wamefikia hatua hadi ya kunifuata ' Private ' na kusema kuwa nasema ukweli na kwamba Mimi siyo Mnafiki hadi kusema kwamba yapo baadhi ya mambo ambayo nikiyaibua basi nao wanayatafakari na ikibidi kuyafanyia Kazi.

Na tena nawaombeni nyote kuwa acheni na msikariri kuwa GENTAMYCINE yupo upande Wenu kwani mnakosea na mnapoteza muda Wenu bure. Tokea nizaliwe na kote nilikopita, kuishi na kufanya mambo yangu sijawahi Kujulikana kuwa Mimi nipo wapi halafu huwa ' sitabiriki ' na sipendi pia ' kutabirika ' kwa hali yoyote ile.

Kwa hili la leo naungana na Rais wangu Dkt. Magufuli kuwa kwa nchi ilipokuwa na ilipofikia acha awatumie hao hao JWTZ na tena naomba nimshauri Mheshimiwa Rais wangu kwamba kama ataona inafaa hata huko mbeleni akiamua sasa Taasisi na Ofisi zote za Serikali na Nyeti hadi maeneo mengine awatumie JWTZ naomba afanye hivyo na Mimi nitamuunga mkono kwa 100% zote.

Nuneni mtakavyonuna ila ' Mwanamume ' nimeshamaliza rasmi na huu ndiyo Msimamo wangu na ndiyo nitakavyokuwa daima.
Bila ccm na JPM mtu kichwa cha samaki kama wewe ambaye hujawahi faulu mtihani wowote hata wa darasa la nne ulishindwa hata kutungisha mimba bado hujaweza sasa utaacha kulamba viatu vyake ha ha endelea na vita vya mashofa bro
 
Kwahiyo alikuwa anataka na anapendelea Tanzania yetu iendelee Kuibiwa na Kuchezewa au? Akikupigia tena Simu baadae au Siku nyingine mwambie GENTAMYCINE kamwambia Yeye ni bonge la ' Popoma ' tena lililotukuka kabisa. Yaani badala ya Kuonyesha Uzalendo wenu na nyie kwa Kusimamia ' rasilimali ' za Tanzania mnamwona Rais Dkt. Magufuli anayezipigania Kuzilinda na Kuziweka kwa maslahi ya Vizazi vijavyo ni Mpuuzi? Kuna Watu mnaudhi hadi nakosa uvumilivu nanyi na huenda ningekuwa karibu nanyi basi tungeshagawana mapema mno Majengo mawili makubwa ya Serikalia ambayo ni Mochwari na Gerezani.
Wee jamaa ndio popoma namba moja.
 
Ikimpendeza Mwenyezi Mungu ili watu wake wa Tanzania tutambue thamani ya utanzania wetu, acha jeshi linyooshe mambo.

China had Mao....USSR had Stalin ... sisi tuna nani? Tunaogopa kupasua miamba ila tunalilia maendeleo. Eti tukishitaki kwa wazungu nchi itabadilika....nani kasema? Nchi tuibadili wenyewe kwa kuacha magumashi na kufikiria jawabu liko Ulaya au litapatikana kwa kuisaliti Tanzania
Kikundi cha washamba mumeshikwa woga haija pata tokea munamuogopa siro sasa munataka msukuma mwenzenu CDF awasaidie kutawala no wonder Magu anamhonga bonge lla nyumba sasa awahonge wote wale ambao amewakaushia wanaweza mkausha yeye mapema kabla juwa halizama sio wote wanapenda dhuluma kwa wananchi
 
Kama kiongozi wa nchi, ikifika mahali huwaamini watendaji wako hadi kufikia kutumia vyombo vya ulinzi kama JW, basi jua una matatizo. Hao jamaa wakishazoea kutawala kuna siku watamtoa kwenye kiti.
 
Kwenye swala la ukasanyiji wa kodi bado tunapigwa aise sijui muarobaini wake ni nini efd risiti hatupewi kabisa wakati ni haki kwa mteja, tena lile tangazo la Mh. raisi lisemalo ukinunua dai risiti ukiuza dai risiti siku hizi silioni kabisa kwenye tv.
 
sawa bwana nadhani pia na waandishi wa magazeti nao watoke jeshini ili kutulisha taarifa zenye maslahi kwa umma

Vilevile na mamoderetors wa jf pia watolewe kule ili kuongeza wanachama wenye life ban
 
Heri ya siku kuu ya Maulid

Bwana Yesu aendelee kuwa nanyi

Operation Kubwa inakuja na taasisi pekee inayoonekana kuwa na weledi kwenye operation hiyo ni JW tu ,

Watu wanajiuliza kwanini Jeshi?
Sababu ni kwamba Jeshi letu ni wachapakazi na wanatii amri za wakuu,

Kuna mambo mengi ya msingi ambayo walisema raia wa kawaida uishia kuvuruga,

Mimi pamoja na kwamba jeshi litaenda kwenye operation hiyo nimeona pia jeshi liende mpaka kwenye kuperate maeneo haya

A.Miradi yote ya serikali kama vile UDART madereva wote wawe wanajeshi,

B.Vivuko vyote nchini viendeshwe na manahodha wanajeshi

C.Shule zote zilindwe na jeshi

Nadhani hata ninyi mna mapendekezo,

Ila jeshi likimaliza kusimamia bureau de changes za Arusha pia kuna za Masaki bado kuna mchezo wa kuficha hela ndani badala ya kuziweka bank, zinanuka uvundo na unga unga, hizo dolla

MAENEO NI MENGI SANA
Nenda Tegeta pale yalipo maduka ya vifaa vya ujenzi..kisha kaa pembeni kama na wewe ni mnunuzi..na chunguza ambavyo serikali inaibiwa VAT kwa watu kupewa risiti za uongo ..mtu ananunua vifaa vvya laki tano anapewa risiti ya shs 50 000 yaani 10% tu ya gharama halisia..

Hivyo ndivyo mama Tanzania anavyoibiwa..

Nyie wapinzani Tumuunge mkono rais
Kwenye risiti hapo, NAOMBA Mh. Rais awape JWTZ TRA...! Wafanyabiashara wengi Sana wanagomesha kutoa risiti na TRA wapo tu...
 
Ilo la kwenye maduka ya ujenzi upo sahihi kabisa,, huwa nashangaa kwan TRA huwa hawana watu wao wakujifanya kama wateja ili wakaling'amua ilo,,maana ni kero ht mi binafsi nishawai kutana nayo,,halafu hamna maslai yoyoye ambayo unapata ww mteja zaidi ya kulinufaisha jitu likwepe kodi, unalazimishwa ukifikisha mzigo umpe dereva wa pikapu arudinayo risit,, sasa sijui izo risit zinatumika tena au wanazifanyaje hao wenye maduka,,sio huko tegeta tu, hata maeneo mengi kuna uho ujinga

Chanzo cha tabia hiyo ya kutokuwa na uzalendo ninini?
 
Ilo la kwenye maduka ya ujenzi upo sahihi kabisa,, huwa nashangaa kwan TRA huwa hawana watu wao wakujifanya kama wateja ili wakaling'amua ilo,,maana ni kero ht mi binafsi nishawai kutana nayo,,halafu hamna maslai yoyoye ambayo unapata ww mteja zaidi ya kulinufaisha jitu likwepe kodi, unalazimishwa ukifikisha mzigo umpe dereva wa pikapu arudinayo risit,, sasa sijui izo risit zinatumika tena au wanazifanyaje hao wenye maduka,,sio huko tegeta tu, hata maeneo mengi kuna uho ujinga
Ukinunua dai risiti halali na linganisha thamani uliyolipa na kilichopo kwenye karatasi.
 
Kaka yangu sitamtaja jina ambaye yeye ni mtaalamu wa masuala ya utafiti na sera ,mara baada ya kupita siku 100 tangu jiwe aapishwe kushika nafasi ya urais alinipigia simu akaniambia

"Mkuu tangu sasa tuhesabu tumekwishapoteza miaka 10.Nilipomuuliza kwanini hakunijibu zaidi ya kusema wait...!Sasa napata jibu taratibu
Aaah kumbe na wewe ni fisadi pole sana awamu hii fanyakazi za halali tu kama tunavyofanya wenzio na tunapata pesa ya kutosha tu pia punguza matumizi ya siyo ya lazima mkuu. Huo ndiyo ushauri wangu
 
Sure
 
Back
Top Bottom