Huu ni mwanzo tu jeshi litatumika sana?

Huu ni mwanzo tu jeshi litatumika sana?

Kuna kutoaminiana miongoni mwa viongozi katika awamu hii katika utekelezaji wa mambo na ndiyo maana imebidi jeshi lihusike kitu ambacho siyo kizuri maana inashusha morali ya wafanyakazi lakini pia ni upotezaji wa rasilimali fedha kwa kuwalipa watu ambao hawatumii
 
Heri ya siku kuu ya Maulid

Bwana Yesu aendelee kuwa nanyi

Operation Kubwa inakuja na taasisi pekee inayoonekana kuwa na weledi kwenye operation hiyo ni JW tu ,

Watu wanajiuliza kwanini Jeshi?
Sababu ni kwamba Jeshi letu ni wachapakazi na wanatii amri za wakuu,

Kuna mambo mengi ya msingi ambayo walisema raia wa kawaida uishia kuvuruga,

Mimi pamoja na kwamba jeshi litaenda kwenye operation hiyo nimeona pia jeshi liende mpaka kwenye kuperate maeneo haya

A.Miradi yote ya serikali kama vile UDART madereva wote wawe wanajeshi,

B.Vivuko vyote nchini viendeshwe na manahodha wanajeshi

C.Shule zote zilindwe na jeshi

Nadhani hata ninyi mna mapendekezo,

Ila jeshi likimaliza kusimamia bureau de changes za Arusha pia kuna za Masaki bado kuna mchezo wa kuficha hela ndani badala ya kuziweka bank, zinanuka uvundo na unga unga, hizo dolla

MAENEO NI MENGI SANA
Nenda Tegeta pale yalipo maduka ya vifaa vya ujenzi..kisha kaa pembeni kama na wewe ni mnunuzi..na chunguza ambavyo serikali inaibiwa VAT kwa watu kupewa risiti za uongo ..mtu ananunua vifaa vvya laki tano anapewa risiti ya shs 50 000 yaani 10% tu ya gharama halisia..

Hivyo ndivyo mama Tanzania anavyoibiwa..

Nyie wapinzani Tumuunge mkono rais

UPDATES

Hili la DG TAKUKURU kuwa na Naibu Brigedia Jenerali naona lina ukakasi kiitifaki
Hatuna dola wala mahakama
 
Litatumika sanaaa walinitonya anapanga safu ya Kubaki
 
Ilo la kwenye maduka ya ujenzi upo sahihi kabisa,, huwa nashangaa kwan TRA huwa hawana watu wao wakujifanya kama wateja ili wakaling'amua ilo,,maana ni kero ht mi binafsi nishawai kutana nayo,,halafu hamna maslai yoyoye ambayo unapata ww mteja zaidi ya kulinufaisha jitu likwepe kodi, unalazimishwa ukifikisha mzigo umpe dereva wa pikapu arudinayo risit,, sasa sijui izo risit zinatumika tena au wanazifanyaje hao wenye maduka,,sio huko tegeta tu, hata maeneo mengi kuna uho ujinga
Ndugu tambua tu hakuna uhalifu wa kijinga kama huo unaweza kufanywa na mtu/mfanyabiashara bila tiss kujua ukiona hivyo basi viongozi wa tiss wa eneo hilo wamechukua chao mapema
 
Heri ya siku kuu ya Maulid

Bwana Yesu aendelee kuwa nanyi

Operation Kubwa inakuja na taasisi pekee inayoonekana kuwa na weledi kwenye operation hiyo ni JW tu ,

Watu wanajiuliza kwanini Jeshi?
Sababu ni kwamba Jeshi letu ni wachapakazi na wanatii amri za wakuu,

Kuna mambo mengi ya msingi ambayo walisema raia wa kawaida uishia kuvuruga,

Mimi pamoja na kwamba jeshi litaenda kwenye operation hiyo nimeona pia jeshi liende mpaka kwenye kuperate maeneo haya

A.Miradi yote ya serikali kama vile UDART madereva wote wawe wanajeshi,

B.Vivuko vyote nchini viendeshwe na manahodha wanajeshi

C.Shule zote zilindwe na jeshi

Nadhani hata ninyi mna mapendekezo,

Ila jeshi likimaliza kusimamia bureau de changes za Arusha pia kuna za Masaki bado kuna mchezo wa kuficha hela ndani badala ya kuziweka bank, zinanuka uvundo na unga unga, hizo dolla

MAENEO NI MENGI SANA
Nenda Tegeta pale yalipo maduka ya vifaa vya ujenzi..kisha kaa pembeni kama na wewe ni mnunuzi..na chunguza ambavyo serikali inaibiwa VAT kwa watu kupewa risiti za uongo ..mtu ananunua vifaa vvya laki tano anapewa risiti ya shs 50 000 yaani 10% tu ya gharama halisia..

Hivyo ndivyo mama Tanzania anavyoibiwa..

Nyie wapinzani Tumuunge mkono rais

UPDATES

Hili la DG TAKUKURU kuwa na Naibu Brigedia Jenerali naona lina ukakasi kiitifaki
Hakika
 
Kaka yangu sitamtaja jina ambaye yeye ni mtaalamu wa masuala ya utafiti na sera ,mara baada ya kupita siku 100 tangu jiwe aapishwe kushika nafasi ya urais alinipigia simu akaniambia

"Mkuu tangu sasa tuhesabu tumekwishapoteza miaka 10.Nilipomuuliza kwanini hakunijibu zaidi ya kusema wait...!Sasa napata jibu taratibu
Aliona mbali
 
Back
Top Bottom