Huu ni mwanzo tu jeshi litatumika sana?

Huu ni mwanzo tu jeshi litatumika sana?

Kaka yangu sitamtaja jina ambaye yeye ni mtaalamu wa masuala ya utafiti na sera ,mara baada ya kupita siku 100 tangu jiwe aapishwe kushika nafasi ya urais alinipigia simu akaniambia

"Mkuu tangu sasa tuhesabu tumekwishapoteza miaka 10.Nilipomuuliza kwanini hakunijibu zaidi ya kusema wait...!Sasa napata jibu taratibu

Yaani hii msg yako nimezidishia hasira haswa.................. yaani tumesimama na kuanza kurudi nyuma imaging turudi ten years back ina maana tutarudi 50yrs jaman... kila leo swali langu ni moja tuu NI WAPI TULIKOSEMA, Mungu tunaomba utuokoe hapa
 
Ilo la kwenye maduka ya ujenzi upo sahihi kabisa,, huwa nashangaa kwan TRA huwa hawana watu wao wakujifanya kama wateja ili wakaling'amua ilo,,maana ni kero ht mi binafsi nishawai kutana nayo,,halafu hamna maslai yoyoye ambayo unapata ww mteja zaidi ya kulinufaisha jitu likwepe kodi, unalazimishwa ukifikisha mzigo umpe dereva wa pikapu arudinayo risit,, sasa sijui izo risit zinatumika tena au wanazifanyaje hao wenye maduka,,sio huko tegeta tu, hata maeneo mengi kuna uho ujinga

Hivi mbona sikuelewi mkuu:

Unakwenda kununua vifaa vya ujenzi; unapewa risiti inayoonyesha kiasi pungufu, kuliko ya kile ulicholipia; halafu unalazimishwa kuirudisha hiyo risiti kwa aliyekuuzia vifaa?
Hili linawezekana? Nchi gani hiyo?

La muhimu zaidi nadhani ni hili: ni mtu wa namna gani anayekubali kufanyiwa haya! Hili ndilo na muhimu hapa.
 
Tatizo lenu Watu wa CHADEMA, Wanaharakati na wale mnaomchukia Rais Dkt. JPM na hata wana CCM mnadhani kwamba GENTAMYCINE nikiwa humu nitakuwa upande Wenu ili niwaridhisheni na mfurahi. Sasa leo hii kupitia Kwako natamka wazi kwamba Mimi ni Mtanzania huru ambaye nawapenda Watu wote bila kujali tofauti zao zozote zile.

Rais JPM akipatia nitamsifia na akikengeuka nitamkosoa haraka sana vile vile Wapinzania nao hasa wana CHADEMA na ACT nao pia wakipatia watakoga Kongole zangu ila wakikosea sitowabakisha na nitawasema hapo hapo. Mimi siyo Mwanachama hai na halali wa CCM ila ni Shabiki wa kweli na mtiifa wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) na nitaacha Kukishabikia pale tu Jeneza langu likiwa linashushwa Kaburini.

Hata hivyo Mimi kuwepo Kwangu na ' mahaba niue ' kwa CCM haimaanishi kuwa eti wakikosea basi nitawabeba au kuwapamba na nashukuru Mungu kuwa hata wana CCM waliopo hapa wanalijua hili na wapo ambao wamefikia hatua hadi ya kunifuata ' Private ' na kusema kuwa nasema ukweli na kwamba Mimi siyo Mnafiki hadi kusema kwamba yapo baadhi ya mambo ambayo nikiyaibua basi nao wanayatafakari na ikibidi kuyafanyia Kazi.

Na tena nawaombeni nyote kuwa acheni na msikariri kuwa GENTAMYCINE yupo upande Wenu kwani mnakosea na mnapoteza muda Wenu bure. Tokea nizaliwe na kote nilikopita, kuishi na kufanya mambo yangu sijawahi Kujulikana kuwa Mimi nipo wapi halafu huwa ' sitabiriki ' na sipendi pia ' kutabirika ' kwa hali yoyote ile.

Kwa hili la leo naungana na Rais wangu Dkt. Magufuli kuwa kwa nchi ilipokuwa na ilipofikia acha awatumie hao hao JWTZ na tena naomba nimshauri Mheshimiwa Rais wangu kwamba kama ataona inafaa hata huko mbeleni akiamua sasa Taasisi na Ofisi zote za Serikali na Nyeti hadi maeneo mengine awatumie JWTZ naomba afanye hivyo na Mimi nitamuunga mkono kwa 100% zote.

Nuneni mtakavyonuna ila ' Mwanamume ' nimeshamaliza rasmi na huu ndiyo Msimamo wangu na ndiyo nitakavyokuwa daima.
Sawa popoma
 
Heri ya siku kuu ya Maulid

Bwana Yesu aendelee kuwa nanyi

Operation Kubwa inakuja na taasisi pekee inayoonekana kuwa na weledi kwenye operation hiyo ni JW tu ,

Watu wanajiuliza kwanini Jeshi?
Sababu ni kwamba Jeshi letu ni wachapakazi na wanatii amri za wakuu,

Kuna mambo mengi ya msingi ambayo walisema raia wa kawaida uishia kuvuruga,

Mimi pamoja na kwamba jeshi litaenda kwenye operation hiyo nimeona pia jeshi liende mpaka kwenye kuperate maeneo haya

A.Miradi yote ya serikali kama vile UDART madereva wote wawe wanajeshi,

B.Vivuko vyote nchini viendeshwe na manahodha wanajeshi

C.Shule zote zilindwe na jeshi

Nadhani hata ninyi mna mapendekezo,

Ila jeshi likimaliza kusimamia bureau de changes za Arusha pia kuna za Masaki bado kuna mchezo wa kuficha hela ndani badala ya kuziweka bank, zinanuka uvundo na unga unga, hizo dolla

MAENEO NI MENGI SANA
Nenda Tegeta pale yalipo maduka ya vifaa vya ujenzi..kisha kaa pembeni kama na wewe ni mnunuzi..na chunguza ambavyo serikali inaibiwa VAT kwa watu kupewa risiti za uongo ..mtu ananunua vifaa vvya laki tano anapewa risiti ya shs 50 000 yaani 10% tu ya gharama halisia..

Hivyo ndivyo mama Tanzania anavyoibiwa..

Nyie wapinzani Tumuunge mkono rais
Kwa hiyo z2020 jiwe akishindwa uchaguzi jeshi linachukua nchi ilimradi tu opposition wasiapishwe, wacheni roho mbaya ya bora tukose woye
 
Ilo la kwenye maduka ya ujenzi upo sahihi kabisa,, huwa nashangaa kwan TRA huwa hawana watu wao wakujifanya kama wateja ili wakaling'amua ilo,,maana ni kero ht mi binafsi nishawai kutana nayo,,halafu hamna maslai yoyoye ambayo unapata ww mteja zaidi ya kulinufaisha jitu likwepe kodi, unalazimishwa ukifikisha mzigo umpe dereva wa pikapu arudinayo risit,, sasa sijui izo risit zinatumika tena au wanazifanyaje hao wenye maduka,,sio huko tegeta tu, hata maeneo mengi kuna uho ujinga
Ndiyo maana tunasema mabavu huwa hayasaidii kitu sabb mwisho wa siku utaendelea kupata hasara. Jiwe kasababisha mazingira magumu kwa wafanyabiashara kupata faida na wakati huo TRA kupata kodi stahiki mara alipovuruga mzunguko wa fedha kwa kuondoa fedha za matumizi ya Taasisi za serikali toka Commercial Banks kwenda BOT ambazo ndizo zilikuwa zinaingizwa kwenye mzunguko kwa kuwakopesha wafanyabiashara. Mfanyabiashara naye ni binadamu sabb akiingizwa kwenye tatizo anatafuta njia ya kujinasua ndiyo maana siku hizi risiti moja inaweza kutumika kuuza friji hata tatu na ukienda dukani unaaambiwa "tuelekeze nyumbani tutakuletea friji lako". Kirikuu, Polisi wanakula "Chao". Nchi haiendeshwi kwa mabavu na chuki ni kutumia akili tu hivi tunavyoenda miezi mitatu ni mingi lazima tutumbukie shimoni
 
Tatizo Watanzania wengi na Viongozi mmejikita kwenye vitu vidogo vidogo mnatangaza wanaibia Nchi mambo makubwa ambayo yana madhara kwenye Uchumi hamyazungumzii kama gesi,Madini na rasilimali zilizopo jifunzeni kutoka SA bidhaa inatakiwa ilipiwe kodi ikiingia kutoka Durban port huku ndani ni kuhamasisha waweze kulipa kodi na kuuza bidhaa kubeba kontena tano mpaka kumi SA huulizwi chochote wanajua Mali hiyo imelipiwa kodi na inatakiwa iuzwe sasa ninyi masikini mpo busy kukwamisha biashara kwa bidhaa zinazowekwa kwenye mifuko(Rambo) hatafu mnasema mnataka maendeleo mtayasikia tuu..
 
Wajenga nchi ni wote. Hapa hamna utabaka. Bosi atuongoze vema kufikia ujenzi wa nchi yetu nzr bila kuangalia utabaka ila weredi ktk utendaji.
 
Ndiyo maana tunasema mabavu huwa hayasaidii kitu sabb mwisho wa siku utaendelea kupata hasara. Jiwe kasababisha mazingira magumu kwa wafanyabiashara kupata faida na wakati huo TRA kupata kodi stahiki mara alipovuruga mzunguko wa fedha kwa kuondoa fedha za matumizi ya Taasisi za serikali toka Commercial Banks kwenda BOT ambazo ndizo zilikuwa zinaingizwa kwenye mzunguko kwa kuwakopesha wafanyabiashara. Mfanyabiashara naye ni binadamu sabb akiingizwa kwenye tatizo anatafuta njia ya kujinasua ndiyo maana siku hizi risiti moja inaweza kutumika kuuza friji hata tatu na ukienda dukani unaaambiwa "tuelekeze nyumbani tutakuletea friji lako". Kirikuu, Polisi wanakula "Chao". Nchi haiendeshwi kwa mabavu na chuki ni kutumia akili tu hivi tunavyoenda miezi mitatu ni mingi lazima tutumbukie shimoni
Mtihani kwakweli
 
Ilo la kwenye maduka ya ujenzi upo sahihi kabisa,, huwa nashangaa kwan TRA huwa hawana watu wao wakujifanya kama wateja ili wakaling'amua ilo,,maana ni kero ht mi binafsi nishawai kutana nayo,,halafu hamna maslai yoyoye ambayo unapata ww mteja zaidi ya kulinufaisha jitu likwepe kodi, unalazimishwa ukifikisha mzigo umpe dereva wa pikapu arudinayo risit,, sasa sijui izo risit zinatumika tena au wanazifanyaje hao wenye maduka,,sio huko tegeta tu, hata maeneo mengi kuna uho ujinga
Yaani ununue Kwa hela yako then ulazimishwe risiti feki? Otherwise kama nawe unafaidi
 
Sasa watu wa TRA wakijifanya wateja afu mwisho wa siku wakapewa risiti halali si imekula kwao?
Mnamvizia mteja anayetoka na vifaa,kama risiti yake haiendani na uhalisia wa vitu mnarudi dukani akisema ye ndo Huwa anauza hivyo mnanunua tu nyie wenyewe vitu vingi Kwa bei aliyotaja uone kama atakubali kuuza stock nzima Kwa hasara
 
Heri ya siku kuu ya Maulid

Bwana Yesu aendelee kuwa nanyi

Operation Kubwa inakuja na taasisi pekee inayoonekana kuwa na weledi kwenye operation hiyo ni JW tu ,

Watu wanajiuliza kwanini Jeshi?
Sababu ni kwamba Jeshi letu ni wachapakazi na wanatii amri za wakuu,

Kuna mambo mengi ya msingi ambayo walisema raia wa kawaida uishia kuvuruga,

Mimi pamoja na kwamba jeshi litaenda kwenye operation hiyo nimeona pia jeshi liende mpaka kwenye kuperate maeneo haya

A.Miradi yote ya serikali kama vile UDART madereva wote wawe wanajeshi,

B.Vivuko vyote nchini viendeshwe na manahodha wanajeshi

C.Shule zote zilindwe na jeshi

Nadhani hata ninyi mna mapendekezo,

Ila jeshi likimaliza kusimamia bureau de changes za Arusha pia kuna za Masaki bado kuna mchezo wa kuficha hela ndani badala ya kuziweka bank, zinanuka uvundo na unga unga, hizo dolla

MAENEO NI MENGI SANA
Nenda Tegeta pale yalipo maduka ya vifaa vya ujenzi..kisha kaa pembeni kama na wewe ni mnunuzi..na chunguza ambavyo serikali inaibiwa VAT kwa watu kupewa risiti za uongo ..mtu ananunua vifaa vvya laki tano anapewa risiti ya shs 50 000 yaani 10% tu ya gharama halisia..

Hivyo ndivyo mama Tanzania anavyoibiwa..

Nyie wapinzani Tumuunge mkono rais
We si ndiyo uliandika unabii wako huu.

Mkuu wetu wa nchi Tunaomba upunguze kutamka neno jeshi kila hotuba yako, lina mtazamo wa kidikteta kwa wanaotafuta kukukosoa - JamiiForums
Hakuna cha kushangaa.
 
zero brain katoe mapapasi hhuko

Kazi unayo...unataka unachoamini wewe kila mtu akifuate. Who do you think you are? Kelele za nyuma ya pazia hazina mashiko. Mara mshamba mara zero brain..what next? Because the trend talks louder about you....
 
Kuna kutoaminiana miongoni mwa viongozi katika awamu hii katika utekelezaji wa mambo na ndiyo maana imebidi jeshi lihusike kitu ambacho siyo kizuri maana inashusha morali ya wafanyakazi lakini pia ni upotezaji wa rasilimali fedha kwa kuwalipa watu ambao hawatumii
idawa eti Magu kafanyaje
 
Nenda Tegeta pale yalipo maduka ya vifaa vya ujenzi..kisha kaa pembeni kama na wewe ni mnunuzi..na chunguza ambavyo serikali inaibiwa VAT kwa watu kupewa risiti za uongo ..mtu ananunua vifaa vvya laki tano anapewa risiti ya shs 50 000 yaani 10% tu ya gharama halisia..

Kama Mh Rais jambo kama hili pia litamshinda kulinyoosha, basi hataweza kunyoosha lolote asilani. Baada ya hapo watu watazoea na kuanza kumdharau tu kila atakalokuwa anahimiza kulifanya!

In fact, nadhani tayari ameshaanza kudharaulika ukitazama kwa makini watumishi wake wanavyochukulia kauli zake. Nahifadhi mifano kadhaa kuunga mkono hoja yangu.

Mambo haya (kama kulipa kodi stahiki), hayahitaji matumizi ya nguvu na kukaripia pekee. Yanahitaji mbinu za kuyatekeleza zilizoenda shule zitakazowafanya watu walazimike kulipa kodi watake wasitake!

Nashangaa ulikwenda kuuibua mjadala huu wa siku nyingi! Kuna nini, isije kukawa na chatu jirani..
 
Hapana mkuu hakuna chatu, tupo salama kabisa
 
Back
Top Bottom