Match ya Simba Vs Ahly ni kama Match ya Aseno Vs Bayern Na match ya Yanga Vs Mamelodi Ni kama Match ya Man City vs Madrid

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,727
3,286
Nimeamua kuandika kichwa kirefu ili mtu akisoma tu aelewe kabisa.

Match ya Bayern Vs Aseno UEFA ni match ambayo haina mvuto na hakuna Ntu anawaza maajabu pale anajua Aseno anakufa kwa Aggregate ya 10 tena.

Hii haina tofauti na Match ya Simba Vs Ahly ambayo kila mtu anajua hakuna maajabu lazima Mnyama aliwe na hio ni AMRI.

Ila Match ya Yanga Vs Mamelodi ni Match ambayo inakutanisha Team ambazo zina bori la moto kwa sasa Afrika hilo halina ubishi ukiamua kubisha labda utakua na matatizo ya udumavu wa akili tu...Hii Match ndio match ya hatua hii kila pembe ya Afrika itatazamwa.

Hakuna sehemu Afrika hii Yanga haijulikan Urabuni ishatoa sana Adhabu inajulikana.
Kusini mwa Afrika Yanga wametembeza kipigo.
Afrika ya kati the same.
Afrika Mashariki ndio inajulikana hadi Nachingwea huko ndani ndani.

Mamelodi mziki wake unajulikana huyu kwa miaka ya karibuni ametawala karibia pembe zote ila hajafanya hivo Afrika mashariki ndio anakuja so match lazima ivute attention kama hii ya UEFA ya Man city Vs Madrid ambayo hii itakutanisha Team ambazo kwa soka la Ulaya kwa sasa ndio wababe ukibisha we utakua una matatizo yako ya ugumu wa Maisha.

#SHABIKI LIALIA WA KOLO WAS HERE
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Anzisha uzi wako upeleke huu ujumbe Members wausome.
 
Yanga hiihii iliyofuzu kwa kuambulia point 8.

Kwanza, Ndio timu iliyokusanya point chache zaidi kwenye hii hatua ya robo fainali.

Pili, Ndio timu iliyoruhusu mabao mengi kwenye hatua ya makundi ukilinganisha na timu nyingine zilizotinga robo fainali.

Ungeniambia Mamelod Vs Ahly Ahly ndio sawa na Man City Vs Madrid ningekuelewa.
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Fainali uzeeni
 
Yanga hiihii iliyofuzu kwa kuambulia point 8.

Kwanza, Ndio timu iliyokusanya point chache zaidi kwenye hii hatua ya robo fainali.

Pili, Ndio timu iliyoruhusu mabao mengi kwenye hatua ya makundi ukilinganisha na timu nyingine zilizotinga robo fainali.

Ungeniambia Mamelod Vs Ahly Ahly ndio sawa na Man City Vs Madrid ningekuelewa.
Unaikumbuka codvoire mkuu?.
 
Nimeamua kuandika kichwa kirefu ili mtu akisoma tu aelewe kabisa.

Match ya Bayern Vs Aseno UEFA ni match ambayo haina mvuto na hakuna Ntu anawaza maajabu pale anajua Aseno anakufa kwa Aggregate ya 10 tena.

Hii haina tofauti na Match ya Simba Vs Ahly ambayo kila mtu anajua hakuna maajabu lazima Mnyama aliwe na hio ni AMRI.

Ila Match ya Yanga Vs Mamelodi ni Match ambayo inakutanisha Team ambazo zina bori la moto kwa sasa Afrika hilo halina ubishi ukiamua kubisha labda utakua na matatizo ya udumavu wa akili tu...Hii Match ndio match ya hatua hii kila pembe ya Afrika itatazamwa.

Hakuna sehemu Afrika hii Yanga haijulikan Urabuni ishatoa sana Adhabu inajulikana.
Kusini mwa Afrika Yanga wametembeza kipigo.
Afrika ya kati the same.
Afrika Mashariki ndio inajulikana hadi Nachingwea huko ndani ndani.

Mamelodi mziki wake unajulikana huyu kwa miaka ya karibuni ametawala karibia pembe zote ila hajafanya hivo Afrika mashariki ndio anakuja so match lazima ivute attention kama hii ya UEFA ya Man city Vs Madrid ambayo hii itakutanisha Team ambazo kwa soka la Ulaya kwa sasa ndio wababe ukibisha we utakua una matatizo yako ya ugumu wa Maisha.

#SHABIKI LIALIA WA KOLO WAS HERE
Mechi ya Arsenal na Bayern haina mvuto? Hii kauli imefanya hata nisiweze kumalizia andiko lako.

Ova
 
Yanga hiihii iliyofuzu kwa kuambulia point 8.

Kwanza, Ndio timu iliyokusanya point chache zaidi kwenye hii hatua ya robo fainali.

Pili, Ndio timu iliyoruhusu mabao mengi kwenye hatua ya makundi ukilinganisha na timu nyingine zilizotinga robo fainali.

Ungeniambia Mamelod Vs Ahly Ahly ndio sawa na Man City Vs Madrid ningekuelewa.
Washindi wa Afcon wamechukua ubingwa wakitokea best looser...
 
Unaikumbuka codvoire mkuu?.
Kwenye mpira lolote linaweza kutokea. Hata Ureno walichukua UERO CUP wakitoka kwenye makundi kama best loosers, same applied to Ivory Coast.

Hoja yangu ni kwamba Yanga ni underdog kwa Mamelod na sio kweli Afrika wanaipa uzito mechi ya Yanga. Labda aseme hapa bongo ndio tunaipa uzito sababu Yanga ni timu bora kwa ligi ya ndani kwa sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom