Tetesi: Huu ndio uraia wake na dini yake

Mimi nikafikiri ni raià wa Angola au Nigeria.
Halafu dini yake wewe inakuhusu nini?
Baadhi ya waafrika mnakuwaga na mentality za kijuha juha kama mfalme juha.
Hapa kwenye dini ndio wanazingua. Kwenye hili sikubaliani naye. Mtu ni mkatoliki ila wanaulazimisha kuwa muislamu then what? Tuache hizo propaganda.
 
Punguzeni shobo mbona hamkuhoji kipindi ni mbunge na waziri.
Kuna dhambi gani ilimradi kaingia harusini holini kwa kadi kaketi viti vya waalikwa.
Baadae kakaribishwa meza kuu na mwenyekiti wa kamati mnahoji nini?
Kwa mtindo huu siku Hussein Bashe na Kinana wakiwania meza kuu mtahoji uraia wao sababu wamekaa kisomali.
Japo ni watanzania.
 
Anasema, Ni mzanzibari na wala si Mtanganyika wa Dodoma, and therefore si Mgogo according to this information from this chap!

With this information if true, ana sifa za kuwa na nafasi aliyopewa

View attachment 3659270
Aise wabongo mnachosha
Kwahiyo haka kamalaya katengeneza mjengeo mlivyowashamba na mitandao mnameza moja kwa moja
Kwanza ni kalugaluga hata kiswahili kanachoongea cha kiporipori, ni kapumbavu fulani kamejitungia tu umavimavi ila wabongo ndio mnatia huruma kwa akili zenu
 
Wazanzibari Wanatakiwa waanze kuondoka Tanganyika, same Rwandan play book

Watch your mouth! Seriously watch your mouth!

Najua hamtupendi Waislam.

Hili tunalijua.

Na hili la kusema "Wazanzibari Wazanzibari" ni pazia la kuficha chuki zenu dhidi ya Waislam.

Ila kuwa makini mno na upunguze mihemko.

Subirini amalize Mama Samia, kama mnataka mwenzenu aje kutawala, In Shaa Allah.

Hii ni Nchi yetu sote Waislam na nyinyi msio Waislam.

Hatutaki machafuko.

Na ukome kutishia Waislam genocide kama ya Rwanda ambayo watu waliuawa mpaka ndani ya kanisa (Katoliki). Watch your mouth! Nakuonya tena ukome!

Ninamuomba Allah Aikate mizizi yenu nyinyi watu waovu mno msioitakia mema Tanzania kwa sababu ya chuki zenu tu za kidini.
 
Wazanzibari ni tawi la CCM
 
Mimi nikafikiri ni raià wa Angola au Nigeria.
Halafu dini yake wewe inakuhusu nini?
Baadhi ya waafrika mnakuwaga na mentality za kijuha juha kama mfalme juha.
Hii kauli kaitumie Zanzibar ya usawa umpendekeze mkristo kuongoza visiwa hivyo,, utaona moto wake.

Najua Deogratius John Pancras Ndejembi ni mkristo. Lakini haiondoi ubaguzi, udini, chuki na manyanyaso ya wazanzibar kwa Watanganyika.

Kwani lazima waje kwetu iwapo sisi haturuhusiwi kwenda kutawala kwao ??

Kosa sio la wazanzibar, ila kosa ni la Mwl Nyerere aliyeng'ang'ania Nchi mbili wakati Sheikh Karume alipendekeza Serikali moja tangu day one ya muungano.

Ila ukatili, mateso mauaji na wizi rasilimali zetu ukiendelea ipo siku kichaa mmoja atafanya ya kushangaza yasiyotegemewa.
 
Punguzeni shobo mbona hamkuhoji kipindi ni mbunge na waziri.
Kuna dhambi gani ilimradi kaingia harusini holini kwa kadi kaketi viti vya waalikwa.
Baadae kakaribishwa meza kuu na mwenyekiti wa kamati mnahoji nini?
Kwa mtindo huu siku Hussein Bashe na Kinana wakiwania meza kuu mtahoji uraia wao sababu wamekaa kisomali.
Japo ni watanzania.

Mbona Dr Salim alipita vyeo vyote, ilipofika kwenye Urais aligomewa???
 
Hakugomewa sababu ya dini yake wala asili yake, yeye alikuja kwenye kinyang'anyiro baadae nchi imeshabadilika na alikuta na watu wenye mchezo mchafu, akaona hayo sio maisha yake aingiie kwenye huo mchezo wa uadui na chuki, akamua kukaa pembeni

Nyerere alikuwa yuko tayari kumfanya Waziri Mkuu ili baadae amuachie nchi kabisa, alisha wahi kuwa Waziri Mkuu akaomba aaiche kwa kuwa alikuwa na maono ya kuwa Katibu wa UN
 
Watch your mouth! Seriously watch your mouth!

Najua hamtupendi Waislam.

Hili tunalijua.

Na hili la kusema "Wazanzibari Wazanzibari" ni pazia la kuficha chuki zenu dhidi ya Waislam.

Ila kuwa makini mno na upunguze mihemko.

Subirini amalize Mama Samia, kama mnataka mwenzenu aje kutawala, In Shaa Allah.

Hii ni Nchi yetu sote Waislam na nyinyi msio Waislam.

Hatutaki machafuko.

Na ukome kutishia Waislam genocide kama ya Rwanda ambayo watu waliuawa mpaka ndani ya kanisa (Katoliki). Watch your mouth! Nakuonya tena ukome!

Ninamuomba Allah Aikate mizizi yenu nyinyi watu waovu mno msioitakia mema Tanzania kwa sababu ya chuki zenu tu za kidini.
Acha kuchanganya Uislamu na Uzanzibar.
Ni vitu viwili visivyo kuwa na uhusiano
 
Back
Top Bottom