Tetesi: Huu ndio uraia wake na dini yake

Tetesi: Huu ndio uraia wake na dini yake

Watch your mouth! Seriously watch your mouth!

Najua hamtupendi Waislam.

Hili tunalijua.

Na hili la kusema "Wazanzibari Wazanzibari" ni pazia la kuficha chuki zenu dhidi ya Waislam.

Ila kuwa makini mno na upunguze mihemko.

Subirini amalize Mama Samia, kama mnataka mwenzenu aje kutawala, In Shaa Allah.

Hii ni Nchi yetu sote Waislam na nyinyi msio Waislam.

Hatutaki machafuko.

Na ukome kutishia Waislam genocide kama ya Rwanda ambayo watu waliuawa mpaka ndani ya kanisa (Katoliki). Watch your mouth! Nakuonya tena ukome!

Ninamuomba Allah Aikate mizizi yenu nyinyi watu waovu mno msioitakia mema Tanzania kwa sababu ya chuki zenu tu za kidini.
Acha vitisho wewe sheikh Mwaipopo.
 
Hakugomewa sababu ya dini yake wala asili yake, yeye alikuja kwenye kinyang'anyiro baadae nchi imeshabadilika na alikuta na watu wenye mchezo mchafu, akaona hayo sio maisha yake aingiie kwenye huo mchezo wa uadui na chuki, akamua kukaa pembeni

Nyerere alikuwa yuko tayari kumfanya Waziri Mkuu ili baadae amuachie nchi kabisa, alisha wahi kuwa Waziri Mkuu akaomba aaiche kwa kuwa alikuwa na maono ya kuwa Katibu wa UN
Acha uwongo.
Dr. Salim A. S aligomewa sababu ya ubaguzi wa uasili.
 
Hivi muislamu unavyotokwa na mishipa ya shingo kumtetea Samia kwamba anabaguliwa kisa uislamu wake, kwani waislamu Tanzania wanafaidika nini kwa urais wa Samia? Kama anabaguliwa sababu ya uislamu ila nachojiuliza pia waislamu wanafaidika nini kwa kuwa na rais muislamu?
 
Punguzeni shobo mbona hamkuhoji kipindi ni mbunge na waziri.
Kuna dhambi gani ilimradi kaingia harusini holini kwa kadi kaketi viti vya waalikwa.
Baadae kakaribishwa meza kuu na mwenyekiti wa kamati mnahoji nini?
Kwa mtindo huu siku Hussein Bashe na Kinana wakiwania meza kuu mtahoji uraia wao sababu wamekaa kisomali.
Japo ni watanzania.
THERE WAS NO INFORMATION, NOW INFORMATION IS AVAILABLE....JINAI HUWA HAIFI
 
Punguzeni shobo mbona hamkuhoji kipindi ni mbunge na waziri.
Kuna dhambi gani ilimradi kaingia harusini holini kwa kadi kaketi viti vya waalikwa.
Baadae kakaribishwa meza kuu na mwenyekiti wa kamati mnahoji nini?
Kwa mtindo huu siku Hussein Bashe na Kinana wakiwania meza kuu mtahoji uraia wao sababu wamekaa kisomali.
Japo ni watanzania.
Wivu ,chuki na kuumbuka Kwa njama
 
Back
Top Bottom