Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,302
- 2,130
Kupambana na mla rushwa ni kumpeleka mahakamani, je lowassa alipelekwa mahakamani?Wakina lowassa
Kupambana na mla rushwa ni kumpeleka mahakamani, je lowassa alipelekwa mahakamani?Wakina lowassa
Ulitaka afanyaje kitandani
Niku-quote nini wewe mtoto siyo riziki!Usini-Quote tena we takataka
Huyo wa kushoto mbona kama Mzee.Mikikimikiki ya "martial arts" anaweZa kweli?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.
Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi kama za mtangulizi wake. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91]
View attachment 1734785
Kwenye hotuba yake ya kuaga mwili,mama Samiah ameahidi kutekeleza miradi yote ya Jiwe.Kweli kaachiwa zigo!Rais yupo smart Sana huyu , Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana , kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho , na aongeze mzunguko wa pesa mtaani , fungua uhusiano wa kimataifa ,ajiri watu , ongezea mishahara ...... Maisha mafupi haya bhana sio tuanze kutishana tishana tena, mwisho tufe tunasubiriaga Tanzania hewa ya viwanda
Wale walinzi wake wote si waislamu,vero anaingiaje hapoNikupe namba ya vero hapo
Hiyo bora haitakaa itoe!Mnamsifiasifia akija kuanza cheche na taarab za pwani msianze kusema ni yaleyale tu bora hata marehemu Jiwe.
Sasa walinzi wamefeli wapi!?Magufuli alikuwa anapambana na vigogo wala rushwa na mafisadi wakubwa mno ndio maana alihitaji kulindwa kwa kila namna.
Basi huyu hakuwa na ulinzi madhubuti!Hata uwe msafi mpaka unawaka kama almasi ulinzi madhubuti ni muhimu No matter what...No offense.
_Kiislam hakuna aliye msafi kama Mtume (S.W.A) na alishambuliwa na mawe.
_Kikristo hakuna aliyemsafi zaidi ya Yesu na alishambuliwa.
Ulinzi madhubuti ni muhimu no excuse...akili mfu tu ndio itapinga.
Siko hapa kujustify...Wale walinzi wake wote si waislamu,vero anaingiaje hapo
Imetulia.
Hakuna mbwembwe za kijeshi za mabunduki tulizozizoea kwa Magufuli.
Airport chatoNingependa uitaje miradi unayodhani inatakiwa kupigwa chini kama unavyosema,,
LOOoo,Rais yupo smart Sana huyu , Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana , kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho , na aongeze mzunguko wa pesa mtaani, fungua uhusiano wa kimataifa ,ajiri watu , ongezea mishahara.
Maisha mafupi haya bhana sio tuanze kutishana tishana tena, mwisho tufe tunasubiriaga Tanzania hewa ya viwanda
hayo ndio mambo yaliyotuchelewesha kwa miaka 60 toka uhulu.Rais yupo smart Sana huyu , Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana , kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho , na aongeze mzunguko wa pesa mtaani, fungua uhusiano wa kimataifa ,ajiri watu , ongezea mishahara.
Maisha mafupi haya bhana sio tuanze kutishana tishana tena, mwisho tufe tunasubiriaga Tanzania hewa ya viwanda
Haina haja ya kujipiga chini bali utekelezwaji wake uwe wenye uwiano na kwingine sio kama marehemu robo tatu ya bajeti ya wizara inaenda kwenye mradi mmjaRais yupo smart Sana huyu , Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana , kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho , na aongeze mzunguko wa pesa mtaani, fungua uhusiano wa kimataifa ,ajiri watu , ongezea mishahara.
Maisha mafupi haya bhana sio tuanze kutishana tishana tena, mwisho tufe tunasubiriaga Tanzania hewa ya viwanda
Miradi kama reli ,kununua mandege na kujenga mastendi ya mabilioni ni useless na haina tija.Ningependa uitaje miradi unayodhani inatakiwa kupigwa chini kama unavyosema,,
Sijui nani hapo ni mtetezi wa wanyonge
Hiyo ya chini ni yake