Mikepoti
Senior Member
- Jun 5, 2014
- 101
- 136
Vigezo vipo vingi vya kumfanya mtu apande cheo chaNashukuru kwa kuleta uzi mzuri ila nna maswali kidogo yananiacha njia panda labda unaweza nifungua
Umesema Tanzania hatuna field marshal.... Je cheo hicho hakipo au kipo ila hakina mtu kwa sasa anayekikalia???
2. Wanaposema 4 star general na 5 star General je kipi kinafanya afikishe nyota 5 na mwingine abakie nyota 4.... Hii ni hasa Majesh ya magharibi
3. vigezo vipi vinatumiwa mtu kupanda cheo
4. Komando ni nani hasa?? Ni mafunzo gani anayopitia mpka aitwe komando au ni cheo cha heshima tu.....
Nisaidie kwa hayo niongeze maarifa, ahsante
Kigezo cha kwanza
Hutokana na Kozi au Mafunzo aliopitia askari au afisa yoyote akifaulu basi hupendekezwa au hustahili kupewa cheo kulingana na kozi aliopitia
Kigezo cha pili
Hutokana na Promotion hapa askari au afisa anaweza kupandishwa cheo kwa sababu ya elimu,kazi alioifanya kwa ufanisi,tukio la kishujaa mf.mission kama Congo,na sababu za kisiasa ndio pale unakuta afisa alikuwa luteniusu anapanda mpka kuwa captain.