Mombasa, kituo cha zamani, uefa night club, kwa mahita, transfoma, mazizini, hospitali, dukani, kota, KWA TEMBA, masika, relini, chama, mosh bar, njia panda kwa diwani/mkolemba.......
mkuu nitakuja hapo shell kwa temba kujaza mafuta naona hii prado yangu sasa hivi inakula sana mafuta...... Hahahahaaaaaaa
Respect to JWTZ wazee wa hima himaaaaaaaa......
Samsung note7
Hahahaha mkuu karibu sana aiseee,,ila kuna sheli mbili:Ya mwarabu karibu na super market na ya Temba mwenye sheli.Sijui utakuja ipi hapo ?
Nashukuru kwa kuleta uzi mzuri ila nna maswali kidogo yananiacha njia panda labda unaweza nifungua
Umesema Tanzania hatuna field marshal.... Je cheo hicho hakipo au kipo ila hakina mtu kwa sasa anayekikalia???
2. Wanaposema 4 star general na 5 star General je kipi kinafanya afikishe nyota 5 na mwingine abakie nyota 4.... Hii ni hasa Majesh ya magharibi
3. vigezo vipi vinatumiwa mtu kupanda cheo
4. Komando ni nani hasa?? Ni mafunzo gani anayopitia mpka aitwe komando au ni cheo cha heshima tu.....
Nisaidie kwa hayo niongeze maarifa, ahsante

Hujajibu swali,muundo wakekwenye operation ?Airwing ni anga mkuu upo sahihi,gongo la mboto ardhini mkuu.
Soma tena.Ahsante sana kwa kudadavua!
Kwahiyo amiri jeshi mkuu anakuwa anaongoza kikosi kipi??au vyote
mfumo wa vyeo ulivyotumia ni kutoka ulaya (na nchi zote ambazo zilikua koloni kama Tanzania)..![]()
HUU NDIO MUUNDO WA KIJESHI KWA MAJESHI YOTE DUNIANI
Katika ulimwengu wa Kijeshi kuna mfanano mkubwa sana ambao watu wengi hasa 'Raia Wema' hawafahamu.
Labda tu niseme tu wazi kuwa mimi nimekulia jeshini maisha yangu yote yaliyopita mpaka hivi sasa navyoandika sio miaka mingi sana iliyopita ndio nikajitoa katika makambi ya jeshi hivyo naandika haya nikiwa najua nidhamu ya jeshi na kila aina ya maisha ya wanajeshi.
Nimekulia Kikosi 603 KJ Airwing(Miaka 19) na Nikahamia 611 KJ Gongo la mboto Ambapo nimekaa kambini mpaka mwaka 2015,baada ya hapo nikatoka rasmi kambini nihamia mtaani kwa Temba UKONGA nilipoanzisha maisha yangu binafsi.Thread hii naiandika nikiwa KWA TEMBA ukonga.
Labda tu niweke wazi kuwa mpaka hapo nilipofikia sijasema lolote kama mimi nimeishi huko kama Mwanajeshi.Sijawahi kuwa mwanajeshi wa jeshi la wananchi Tanzania na naandika haya nikiwa kama raia mwema tu mwenye moyo wa kizalendo na ambaye nalipenda sana jeshi letu JWTZ.
TWENDE MOJA KWA MOJA KWENYE MADA HUSIKA:
Katika muundo wa Jeshi(Hii ni kwa dunia nzima) askari wa Jeshi wamegawanywa makundi makundi kama ifuatavyo
1.FireTeam
![]()
Hii ndio kikosi kidogo zaidi katika muundo wa jeshi kikiongozwa na KOPLO(corpoal).
Kikosi hiki ni cha askari 3-4 tu.
-Koplo ambaye anaongoza kikosi hiv anakuwa na V mbili
2.Section
![]()
Hiki ni kikosi cha wanajeshi wapatao 8-12 na wanaongozwa na SAJENTI(sergeant)
-Sajenti ambaye anaongoa kikosi hiki ana V tatu tu.
![]()
3.Platoon
![]()
Hiki ni kikosi kinachoongozwa na LUTENI(lieutenant).
-Kikosi hiki kina wanajeshi wapatao 15-30
-LUTEN ana nyota mbili
![]()
4.Company(Tanzania tunaita kombania)
Hiki ni kikosi kinachoongozwa na CAMPTAIN au major
-Kiongozi wa kikosi hiki ana nyota 3(Captain) au ngao ya nchi(Major)
-Kikosi hiki kina wanajeshi 80-150
![]()
![]()
5.Battalion(Infantry )
Kikosi hiki kinaongozwa na LUTENI KANALI()
-Hiki kinahusisha wanajeshi 300-800
-Luteni kanali ananyota moja na ngao ya nchi
![]()
6.BRIGAGE
Kikosi hiki kinaongozwa na Kanali au Brigedia.
-Hiki kinahusishwa wanajeshi 2000-5000
-Kanali ana ngao ya nchi na nyota mbili,brigedia ana ngao ya nchi na nyota tatu(Huu mfumo Tanzania tumechana nao)
![]()
7.Division
Hiki kikosi huongozwa na Maj Jeneral na hujumuisha wanajeshi 10000-15000
-Katika jeshi la uingereza maj gen ana mkasi na nyota moja ila ni tofauti na Kwetu ambapo ana mkasi na nyota mbili na ngao
![]()
![]()
(Hii ni kwa Tanzania )
8.Corps
-Hiki hujumuiya wanajeshi 20000-40000 na Huongozwa na LUTENI JENERAL
-Katika jeshi la Uingereza Lt Gen ana mkasi,ngao na nyota moja ila kwetu sisi ni tofauti toka 2015 september
9.Field Army
-Hii hujumuisha wanajeshi 80000+ na huongozwa na General
-Tanzania Gen ana nyota 4,mkasi na ngao.
![]()
10.Army group
-Kikosi hiki huongoza na Field marshal
-Ambacho huusisha Army group kuanzia mbili na kuendelea
-nchi yetu haina Field marshal hivyo majukumu yake yapo chini ya General
11.Theater (Warfare)
Hiki kikosi huongoza na mkuu wa nchi ambato hujumuisha askari (4+Army group) yanii Army groups 4 na kuendelea
![]()
Sengwile Makamanda
Nashukuru kwa kuleta uzi mzuri ila nna maswali kidogo yananiacha njia panda labda unaweza nifungua
Umesema Tanzania hatuna field marshal.... Je cheo hicho hakipo au kipo ila hakina mtu kwa sasa anayekikalia???
2. Wanaposema 4 star general na 5 star General je kipi kinafanya afikishe nyota 5 na mwingine abakie nyota 4.... Hii ni hasa Majesh ya magharibi
3. vigezo vipi vinatumiwa mtu kupanda cheo
4. Komando ni nani hasa?? Ni mafunzo gani anayopitia mpka aitwe komando au ni cheo cha heshima tu.....
Nisaidie kwa hayo niongeze maarifa, ahsante
Vp kuhusu 5 star General ....... Inakuwajemfumo wa vyeo ulivyotumia ni kutoka ulaya (na nchi zote ambazo zilikua koloni kama Tanzania)..
ilihali nchi kama MAREKANI VYEO VYAKE VIPO TOFAUTI (mfano luteni kwa marekan havai nyota mbili!!!,,captain kwa marekani havai nyota tatu!!!!,,kuna vyeo kama private first class,,sergent first class,,command sergent major,, hii ni miundo tofauti tofauti inadepend na origin n.k)
isipokua kwenye ranks za Ugeneral ni kimataifa zaidi
ndo maana Tz ikabadili vyeo vya Mageneral kuendana na Hadhi ya kimataifa!!Duniani kote
Ikiwa na maana Duniani vyeo vya Ugeeral vipo vinne
1/ Brigedia General (one star general) iki ndo cheo cha chini cha level ya Ujenerali duniani kote hutambulika kama 0ne star general ndo maama kwenye gari anayokua amepanda inakua na kibandiko cha nyota moja
2/Meja General(Two star general) huyu sasa yuko juu ya brigedier ambaye pia duniani kote hutambulika kama two star general kwa tanzania anakua na mkasi na nyota mbili hata gari yake inakua na kibandiko cha nyota mbili
3/ luteni General(three star general) huyu anakua yuko chini ya mkuu wa majeshi kama mnadhimu mkuu wa jeshi huyu duniani kote anajulikana kama three star general ndo maana begani anavaa mkasi na nyota tatu zilizoongozana na uku kwenye gari yake ikiwa na kibandiko cha nyota tatu
4/General(4 star general) huyu ndo top mkuu wa magenerals wote a.k.a CDF (Chief of defense force) gari yake inakua na nyota nne full stop.
Nashukuru mkuu kwa ufafanuziHili swali ni sawa na kusema kipi kinafanya askari apande cheo ambalo nishakujibu..
Ila 4 star general ni jenerali wa kawaida tu kama MUSUGURI na 5 star general ni cheo cha juu yake ambacho ni FIELD MARSHAL
Kwahiyo hilo ndio jina lingine la general
Ila maranyingi hiki kipengele hawakitumii wengu huwa wanaingia mitini sijui hawakijui auPanachafuka