billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,496
- 1,757
Uzi mzuri
Kama prezidaa hataki kusemwa, hawa wajeda itakuwaje?Unaogopa kutolewa meno mkuu,huu ni muundo wa dunia nzima aiseee....
Kama prezidaa hataki kusemwa, hawa wajeda itakuwaje?
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Hahahahah bashite anaongoz Bongo Movie kwenye vita ya kudai CDs za nje szisiuzwe nchiniUngeuweka kitanzania zaidi, naona umeuweka sana kimalkia, pia ungeelezea na majukumu yao wakati wa vita, amani na operesheni mbalimbali
Halafu kuna yule mkuu wa wakuu wa mikoa toka darithalama anajiita field marshal, hivi anaongoza wanajeshi wangapi na majukumu yao ni yepi wakati wa vita na wakati wa amani au operesheni mbalimbali
Uzuri shemeji yako ni mjeda, kwahiyo majeda wote ni mashemeji zangu. Uchungu wa kufumania huwezi kuupima utakuwaje kwa muda huu, ngoja yakishakufika ndiyo utajua jinsi itakavyo kuwa.Wewe hata ukichapiwa mke wako na mjeda utaanza kushangilia
Komando ni Nani?Komando sio cheo cha kijeshi..
Ni mwanajeshi wa cheo chochote anaweza kuwa komando
Lami ipo hadi Mosh bar japo wanataka itoboe kwa mkolemba mpaka mbagalaMkuu, ujenzi wa lami Mombasa - Moshi bar. Umefikia wapi, au lami ilishafika Bomba mbili? Samahani lakini, nimetoka nje ya mada
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Pamoja mkuuLami ipo hadi Mosh bar japo wanataka itoboe kwa mkolemba mpaka mbagala
Pia nilipitia JKT 835KJWewe ni mvaa gwanda, kukaa kambini hakuwezi kukufanya ujue platoon wala section unless otherwise uwe ume-google.
Kukaa kambini Kama raia hupati nafasi ya kujua division ya vikundi vya Askari wakati wa mafunzo wala wakati wa Vita.
Snte