comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,952
Komando ni Nani?
Mwanajeshi aliepitia mafunzo ya weledi na kufaulu ,mwanajeshi anapata kozi ya ukomandoo akihitimu poa anakua hivyo
Komando ni Nani?
Ule uzi niliokuwa na ulalamikia ndio huu.Niliuweka jukwaa la habari mchanganyiko mda sio mrefu wakaamua kuhamishia huku.Ila huhuuu nilioupaste huku bado wanauhalili mpaka saivi toka asubuhi🙂🙂🙂🙂🙂
-Hawa Mods wa JF
Kuna cheo km air marshal,sky marshal ziko ktk nchi zipi?Asante sana
Field Marshal tunacho ila hakuna aliyefikiaKuna cheo km air marshal,sky marshal ziko ktk nchi zipi?
Na kwanini nchi zingine zina vyeo km field marshal wakat sie huku hakuna. Hizi cheo za akina fiedd marshal na air marshal zinaambatana na uwezo wa kijeshi kwa zana za kivita au vipi?
Najua hapa africa,nchi ya misri ina cheo hicho cha field marshal.
MgamboPia nilipitia JKT 835KJ
kwa Tanzania ni cheo cha kisiasa, hana hata V moja.Ahsante sana kwa kudadavua!
Kwahiyo amiri jeshi mkuu anakuwa anaongoza kikosi kipi??au vyote
Nami nataman kujuaqMkuu umeandaa uzi mzuri na unaeleweka kirahisi ususani unapo toa maelezo nakuambatanisha na picha nikupongeze kwa hili pia...naomba niulize swali,,,kwenye makundi yote especially haya ya section,platoon pamoja na company wanapo kuwa battle field huwa wanatumia ishara gani kuwasiliana na formation ipi wanatumia ili kukaa kwenye mfumo ambao itafanya wanapo kuwa wanawasiliana waelewane kirahisi?
Je?platoon commander yeye anakuwepo kwenye battle field au huwa anakuwa wapi wakati pambano linaendelea.
Nawasilisha mkuu
1 . 4 star general ni general mwenye nyota 4 ambae anauwezo wa kuongoza askari 80,000 na kuendelea,five star general kwa hapa bongo hakipo huyu huwa anaongoza askari karibia 200,000 na kuendleaNashukuru kwa kuleta uzi mzuri ila nna maswali kidogo yananiacha njia panda labda unaweza nifungua
Umesema Tanzania hatuna field marshal.... Je cheo hicho hakipo au kipo ila hakina mtu kwa sasa anayekikalia???
2. Wanaposema 4 star general na 5 star General je kipi kinafanya afikishe nyota 5 na mwingine abakie nyota 4.... Hii ni hasa Majesh ya magharibi
3. vigezo vipi vinatumiwa mtu kupanda cheo
4. Komando ni nani hasa?? Ni mafunzo gani anayopitia mpka aitwe komando au ni cheo cha heshima tu.....
Nisaidie kwa hayo niongeze maarifa, ahsante