Mambo ya kale hayo. Dunia ya sasa kila kitu kipo Google.Da toka uzi umeanzishwa wenyewe wanaojua maadili wako kimyaa safi sana naona humu wamejaa mananga tu wanalishana matango poli
Daa nimekumbuka huu wimbo pale makutupora. Wa sengwile makamandaaa![]()
HUU NDIO MUUNDO WA KIJESHI KWA MAJESHI YOTE DUNIANI
Katika ulimwengu wa Kijeshi kuna mfanano mkubwa sana ambao watu wengi hasa 'Raia Wema' hawafahamu.
Labda tu niseme tu wazi kuwa mimi nimekulia jeshini maisha yangu yote yaliyopita mpaka hivi sasa navyoandika sio miaka mingi sana iliyopita ndio nikajitoa katika makambi ya jeshi hivyo naandika haya nikiwa najua nidhamu ya jeshi na kila aina ya maisha ya wanajeshi.
Nimekulia Kikosi 603 KJ Airwing(Miaka 19) na Nikahamia 611 KJ Gongo la mboto Ambapo nimekaa kambini mpaka mwaka 2015,baada ya hapo nikatoka rasmi kambini nihamia mtaani kwa Temba UKONGA nilipoanzisha maisha yangu binafsi.Thread hii naiandika nikiwa KWA TEMBA ukonga.
Labda tu niweke wazi kuwa mpaka hapo nilipofikia sijasema lolote kama mimi nimeishi huko kama Mwanajeshi.Sijawahi kuwa mwanajeshi wa jeshi la wananchi Tanzania na naandika haya nikiwa kama raia mwema tu mwenye moyo wa kizalendo na ambaye nalipenda sana jeshi letu JWTZ.
TWENDE MOJA KWA MOJA KWENYE MADA HUSIKA:
Katika muundo wa Jeshi(Hii ni kwa dunia nzima) askari wa Jeshi wamegawanywa makundi makundi kama ifuatavyo
1.FireTeam
![]()
Hii ndio kikosi kidogo zaidi katika muundo wa jeshi kikiongozwa na KOPLO(corpoal).
Kikosi hiki ni cha askari 3-4 tu.
-Koplo ambaye anaongoza kikosi hiv anakuwa na V mbili
2.Section
![]()
Hiki ni kikosi cha wanajeshi wapatao 8-12 na wanaongozwa na SAJENTI(sergeant)
-Sajenti ambaye anaongoa kikosi hiki ana V tatu tu.
![]()
3.Platoon
![]()
Hiki ni kikosi kinachoongozwa na LUTENI(lieutenant).
-Kikosi hiki kina wanajeshi wapatao 15-30
-LUTEN ana nyota mbili
![]()
4.Company(Tanzania tunaita kombania)
Hiki ni kikosi kinachoongozwa na CAMPTAIN au major
-Kiongozi wa kikosi hiki ana nyota 3(Captain) au ngao ya nchi(Major)
-Kikosi hiki kina wanajeshi 80-150
![]()
![]()
5.Battalion(Infantry )
Kikosi hiki kinaongozwa na LUTENI KANALI()
-Hiki kinahusisha wanajeshi 300-800
-Luteni kanali ananyota moja na ngao ya nchi
![]()
6.BRIGADE
KKikos hiki kinaongozwa na Kanali au Brigedia.
-Hiki kinahusishwa wanajeshi 2000-5000
-Kanali ana ngao ya nchi na nyota mbili,brigedia ana ngao ya nchi na nyota tatu(Huu mfumo Tanzania tumechana nao)
![]()
7.Division
Hiki kikosi huongozwa na Maj Jeneral na hujumuisha wanajeshi 10000-15000
-Katika jeshi la uingereza maj gen ana mkasi na nyota moja ila ni tofauti na Kwetu ambapo ana mkasi na nyota mbili na ngao
![]()
![]()
(Hii ni kwa Tanzania )
8.Corps
-Hiki hujumuiya wanajeshi 20000-40000 na Huongozwa na LUTENI JENERAL
-Katika jeshi la Uingereza Lt Gen ana mkasi,ngao na nyota moja ila kwetu sisi ni tofauti toka 2015 september
9.Field Army
-Hii hujumuisha wanajeshi 80000+ na huongozwa na General
-Tanzania Gen ana nyota 4,mkasi na ngao.
![]()
10.Army group
-Kikosi hiki huongoza na Field marshal
-Ambacho huusisha Army group kuanzia mbili na kuendelea
-nchi yetu haina Field marshal hivyo majukumu yake yapo chini ya General
11.Theater (Warfare)
Hiki kikosi huongoza na mkuu wa nchi ambato hujumuisha askari (4+Army group) yanii Army groups 4 na kuendelea
![]()
Sengwile Makamanda
Ukiwaita raia wakakamavu imekaa kikejeli na dharauMwanajeshi hapimwi kwa kupambana na raia tena wasio na silaha yoyote ile.
Hao ni raia wenzetu tu ndio maana hata mafunzo yao yamejikita kwenye kudhibiti raia wa kawaida.
Jambooooo afande?-Raia
-Kuruta/Recruit
-Service Man/Woman
-Private
-Lance Corporal
-Corporal
-Sergeant
-Staff Sergeant
-Warrant Officer II
-Warrant Officer I
-Officer Cadet
-Second Lieutenant
-Lieutenant
-Captain
-Major
-Lieutenant Colonel
-Colonel
-Brigadier General
-Major General
-Lieutenant General
-General
-Marshall
Note:
All of the above ranks are under "Commander In Chief-C in C" who is a Head of State na sio lazima awe aakari.
ANGALIZO:
Wapo baadhi ya askari ambao huita "Full Colonel-Full Kanali" Cheo sahihi ni Kanali wala sio Full Kanali. Sina haja ya kutaja vikosi nilivyopitia. Kama askari sijafundishwa hivyo!
Acha kukariri mkuu..wengi watoto waliolelewa kwny kota za jeshi wanazijua hizo ranking..ni sawasawa na mtoto wa mwalimu anayeishi kota za waalimu kujua majina yote ya watumishi wa shule ingawa hata shule hajaanza.Ww jamaa ni askari tuu wa jwtz na 100% na uhakika uwezi jua mambo yote aya ya kiaskari eti kisa ulikaa kambini miaka 19 cjui ishirini uko kwny kota za jeshi nop c kweli mm mzee wangu alikuwa 511kj nilikaa pale almost miaka 10 lkn ckujua chochote kusu jeshi mpaka nilipo ingia kwnye chombo chenyewe ndo nikajua a to z kusu jeshi by the way uwezi jua mambo ya jeshi kiundani kama c mwanajeshi...
Of course you might be right.Ulikaa kota za karibu na shule ya msingi jeshini mkuu huku karibu na Juhudi Sec?Ww jamaa ni askari tuu wa jwtz na 100% na uhakika uwezi jua mambo yote aya ya kiaskari eti kisa ulikaa kambini miaka 19 cjui ishirini uko kwny kota za jeshi nop c kweli mm mzee wangu alikuwa 511kj nilikaa pale almost miaka 10 lkn ckujua chochote kusu jeshi mpaka nilipo ingia kwnye chombo chenyewe ndo nikajua a to z kusu jeshi by the way uwezi jua mambo ya jeshi kiundani kama c mwanajeshi...
Of course you might be right.Ulikaa kota za karibu na shule ya msingi jeshini mkuu huku karibu na Juhudi Sec?
Ndio mzee wangu ali staff apo mwaka 2003 nw yupo mbeya mbozi analima alikuwa staff sargent napajua apo very well..Mimi now niko 44Kj..Of course you might be right.Ulikaa kota za karibu na shule ya msingi jeshini mkuu huku karibu na Juhudi Sec?
Ile road ya kutokea hapo getini kwenda IWINDI ndio ilikuwa mitaa yangu mkuu.Ukifika pale kwenye kibao cha shule ya msingi pale kwenye frames za maduka kama unaenda IWINDI kuna bibi mmoja maarufu sana hapo anaitwa BIBI MZURI msalimie sanaNdio mzee wangu ali staff apo mwaka 2003 nw yupo mbeya mbozi analima alikuwa staff sargent napajua apo very well..Mimi now niko 44Kj..
Nimepitia jeshi, haupo sahihi ni maeneo machache mno umepatia.![]()
HUU NDIO MUUNDO WA KIJESHI KWA MAJESHI YOTE DUNIANI
Katika ulimwengu wa Kijeshi kuna mfanano mkubwa sana ambao watu wengi hasa 'Raia Wema' hawafahamu.
Labda tu niseme tu wazi kuwa mimi nimekulia jeshini maisha yangu yote yaliyopita mpaka hivi sasa navyoandika sio miaka mingi sana iliyopita ndio nikajitoa katika makambi ya jeshi hivyo naandika haya nikiwa najua nidhamu ya jeshi na kila aina ya maisha ya wanajeshi.
Nimekulia Kikosi 603 KJ Airwing(Miaka 19) na Nikahamia 511 KJ Gongo la mboto Ambapo nimekaa kambini mpaka mwaka 2015,baada ya hapo nikatoka rasmi kambini nihamia mtaani kwa Temba UKONGA nilipoanzisha maisha yangu binafsi.Thread hii naiandika nikiwa KWA TEMBA ukonga.