smigo4u
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,408
- 2,844
Mkuu bali kama nitakuwa nje ya mada kidogo ni kuwa hivi kama uliwahi pita mujibu wa sheria ukapata ile ki2 tunaita cheti ya jkt.ukaendelea na masomo ya elimu ya juu kwenye course husika unayoichukulia ukataka kurudi jeshi ni utarudi tena jkt kupiga mieI mitatu kisha Tpdf au utaunganishwa na pre- cardet kwenda TPDF jumla kuchukua nyota?Noted