ID yenye specimen ya kufanyia dissection.
Eeh asije akatumia nguvu zake kuningurumia kama simba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamrahisishia kazi.
Hahahahahahha na bado na hela anachunwa.Sifa tu, kunitia tu aibu[emoji134][emoji134]
Ohhhh kumbeeWanakwama kwenye tope
Utatuharibia hiki kizazi babuu. [emoji23][emoji23][emoji23]Natafuta vijana wakakamavu watakafuata nyayo za mimi Mandela wa michepuko... nataka niwape semina elekezi ya namna ya kuifanya hii kazi bila kufumaniwa, kushtukiwa wala kuvunja mioyo ya viburudisho pendwa kitandani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha tumuambie ukweli tu afanye aoe
Wewe mstaarabu wengine duuuh.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi huwa narudisha mtungi ukiwa safi kabisa, kuna wapo huwa hawasafishia wakitaka kwenda kubadili.
Nilibadilishaga mtungi ulikuwa umechoka sana, umebabuka kwa kutu kutokana na uchafu kugandiana
[emoji23][emoji23][emoji23]uchoyo tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kesho sipo uje siku nyingine
Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!
Karibuni tuleView attachment 1212957
Halafu sasa ndio uende kununua gesi ukute misafi imeisha. [emoji23][emoji23][emoji23]unawaza ukichukua huo mchafu utauweka wapi usiaibike.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unakuta mtungi una kutu hatari
AsanteHongera
Halafu vya msingi anasema hawezi kuandika kila kitu.Injinia anakumbuka irrelevant issues aaaaah
Oooooow!!!!Na sijamaliza kitabu,
Hujajua raha ya babu,
Utadeka bila tabu,
Na kupona bila tabibu...
Njoo nikudekeze,
Nikupigie na zeze,
Burudani uwekeze,
Bila shida ujikaze...
Hebu inbobo ingia,
Tuyapange kutimia,
Mahaba kupalilia,
Hatimaye kuchumia...
Dedikeshen kwako hiyo cute b my dia...
Consider it done. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ninunulie basi, nitaweka maji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]samaki ni changamoto.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani umenikumbusha kuna clip moja niliiona wanaume kama watano hivi wako jikoni mafuta yamechemka mmoja ndiyo kashikilia bakuli lenye samaki wengine wako nyuma yake wanasubiri atumbukize alivyotumbukiza tu wote wakatoka nduki wakaanza kugombania mlango wapite wote hadi mmoja akaanguka yaani utafikiri ni bomu sijui linataka kulipuka kumbe wanakimbia mafuta tu[emoji1787][emoji1787]
Duuuhhh. Atatangazwa kilichomuua ni nini?Ajali kazini bana
Hakijaiva tuu? Mimi changu teyariMimi nasubiri dogo aivishe hapa, naona yupo slow anajifanya fundi wa kuunga sana