Huu ndio msosi wa bachela

Huu ndio msosi wa bachela

We si umemuita mkeo?

Sitaki, yangu nitumie tu.
Mama usiwe mkali Mimi na Wewe tumetoka mbali
Siwez kukuacha kirahisi hivo hata sikumoja
Wazo la Mimi kuachana na Wewe lifute kabsaa kwenye akili yako

Zawad yako ipo nataka tuonane nikupe
My dear
Huyo mke wangu we achana nae
 
Kweli hayo majina uliyoniita hapo nimedhibitisha wewe ni mzee kijana.
Maana hata vijana hawaiti majina matamu mamna hii.
Sijui wanakwama wapi?
Na sijamaliza kitabu,
Hujajua raha ya babu,
Utadeka bila tabu,
Na kupona bila tabibu...

Njoo nikudekeze,
Nikupigie na zeze,
Burudani uwekeze,
Bila shida ujikaze...

Hebu inbobo ingia,
Tuyapange kutimia,
Mahaba kupalilia,
Hatimaye kuchumia...

Dedikeshen kwako hiyo cute b my dia...
 
Akirudi mmoja ameiva, anatumbukiza wa pili anatoka tena nduki... Yule aliyekuwa ameivaa anaaza kuungua huku wa pili aliyemtumbukiza ameivaa, akirudi anatia watatu.... Nk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani umenikumbusha kuna clip moja niliiona wanaume kama watano hivi wako jikoni mafuta yamechemka mmoja ndiyo kashikilia bakuli lenye samaki wengine wako nyuma yake wanasubiri atumbukize alivyotumbukiza tu wote wakatoka nduki wakaanza kugombania mlango wapite wote hadi mmoja akaanguka yaani utafikiri ni bomu sijui linataka kulipuka kumbe wanakimbia mafuta tu[emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo ndio ushanifanya mchepuko[emoji134][emoji134][emoji134]
Mama usiwe mkali Mimi na Wewe tumetoka mbali
Siwez kukuacha kirahisi hivo hata sikumoja
Wazo la Mimi kuachana na Wewe lifute kabsaa kwenye akili yako

Zawad yako ipo nataka tuonane nikupe
My dear
Huyo mke wangu we achana nae
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani umenikumbusha kuna clip moja niliiona wanaume kama watano hivi wako jikoni mafuta yamechemka mmoja ndiyo kashikilia bakuli lenye samaki wengine wako nyuma yake wanasubiri atumbukize alivyotumbukiza tu wote wakatoka nduki wakaanza kugombania mlango wapite wote hadi mmoja akaanguka yaani utafikiri ni bomu sijui linataka kulipuka kumbe wanakimbia mafuta tu[emoji1787][emoji1787]
Kukaanga samaki shughuli kweli kweli! Shombo, mafuta yanaruka hovyo yaani tafran
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom