[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo cowboy sijaikutaSi unaona sasa!! Ushaniona mtoto mwenzio[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kimbo au cowboy tumepikia sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo cowboy sijaikutaSi unaona sasa!! Ushaniona mtoto mwenzio[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kimbo au cowboy tumepikia sana.
UwiiiiiiiiiiiMlete tu, ngoja nikutafutie mjanja mmoja akufunge brake.
Unaniharibia ujue? Ushasikia wanawake duniani ni wengi kuliko wanaume?? Na hujashangaa hakuna mwanamke ambaye hana bebi wake? Jiulize na ujijibu kuhusu umuhimu wa uwepo wangu dunianiHuyo kaboom role model wake ni Asprin.
Hata aoe 10 kuchepuka haachi[emoji23][emoji23][emoji23]
Haki nimechekaaaaa, wewe babu unajua ushazeeka uache vituko.Unajua unafanya watu wanione kama mwanaume suruali?
Kuna mtu aliniambia dada yako anapenda helaa, nadhani aliona vitu vya namna hii.Hapo kwenye mahari nimekuelewa sana, si ndio maana nakupenda sasa[emoji8][emoji8]
ID yenye specimen ya kufanyia dissection.Hahaha unatumia id gani mbona sijakutambua
Sawaaa[emoji23][emoji23][emoji23]No mtt ndo anapends blue band
Nimezeeka kwenye umri tu my dear. Kwa maneno na matendo bado nipo nipo sana my dear cute darlingHaki nimechekaaaaa, wewe babu unajua ushazeeka uache vituko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwanza unacho cha kuweka kwenye friji?Dogo uko vizuri, mie hata friji sina[emoji134][emoji134]
Jiko/mtungi huwa nafuta kila nikimaliza kupika, kwa hiyo unakuwa safi muda woteSipati picha jiko linakuwa na hali gani kabla ya kupika[emoji134][emoji134]
Hahahahah Heaven Sent amesema akiona ule uzi anamkumbuka fundi maiko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu muache injinia huko!!
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Bora tu utusafishe.
Kuna mtu aliniambia dada yako anapenda helaa, nadhani aliona vitu vya namna hii.
Staili za kupika ni nyingi kikubwa ugali uive[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha ndio uoe sasa.
Kwanini unateseka.
Na unakorogaje uji mzito hadi unaruka ruka? Ndio maana ugali unakuwa mbichi.
[emoji1787][emoji1787]sifuri kabisa tatizo wanaume wa siku hizi hawataki kuoa ili wale vitu vizuri huo mchuzi si ni maji tu hayo nahisi hata hivyo vitunguu na nyanya vinaogelea tu humo na ukiumimina kwenye huo wali sasa ndiyo kabisa balaa tupu naomba tu niishie hapa nisiendelee[emoji23][emoji23]
Si ndio hapo sasa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwanza unacho cha kuweka kwenye friji?