Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,960
- 183,578
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
injinia soma hio
injinia soma hio
Ajali kazini banaHahahhahaha ndio, halafu sasa ni aibu maana anao hadi wajukuu.
Nini mossad cha mtoto hao sema cia banaNdiyo karma sasa mbona yupo hapa
Ana ID nyingi Kama mossad
Mimi nasubiri dogo aivishe hapa, naona yupo slow anajifanya fundi wa kuunga sanaHahahahahhahaa tumesahau hadi kupika.
Ngoja niweke alama nilipoishia nikapike kwanza.
[emoji3][emoji3]yes that's me, breath it in.Ndiyo ww una kauli tata Sana mbishi Kama nyama ya goti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na bado watatuita hadi waguangzhou[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo ametuita wabeijing[emoji134]
Kumbe haukunigundua??Ahaa nilikuwa najiuliza.....kumbe
Bachela anayekaanga samaki lazima atakuwa bachela sugu mwenye homoni za jinsia pinzani.Kukaanga samaki shughuli kweli kweli! Shombo, mafuta yanaruka hovyo yaani tafran
Mkuu unaishi Mbeya nini??Ahahaaa..tena ile dona ya kutengeneza mwenyewe sio chungu kama za madukani
Kama najiona vile hahaaaa chakula changu cha fasta ni chips na mchuzi wa nyanya alafu huo mchuzi nikipika leo unatumika hadi kesho jioni. Nyama kilo moja nikipika nailia ugali siku mbili hadi inabaki inachacha. Haya maisha ya ubachela noma sana msosi ukizingua tuu ni kuchemsha nyanya nanunua skons zangu nne nagonga supu ya nyanya. Maisha ni raha sana kibachela nikishiba mchana usiku nagonga matunda tuuu na maji meengi.Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!
Karibuni tuleView attachment 1212957
Haha sasa unaogopa mafuta tu wakati watu tunaepua masufuria jikoni bila vitambaa wala makaratasi[emoji23][emoji23]nimekumbuka kuna ex wangu mmoja niliwahi kumkuta kwake anahamisha mikaa ya moto kwa viganja kutoka kwenye jiko moja kwenda jiko jingine nikasema subhanallah[emoji2296][emoji2296]sina mtu hapaKukaanga samaki shughuli kweli kweli! Shombo, mafuta yanaruka hovyo yaani tafran
OohhWalaa mpaka ulivyoniquote
Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!
Karibuni tuleView attachment 1212957
Dona Mlenda Shingo kavu za kuku na miguuewaaa hii yenyewe mzee baba..
MmhhYaani bado unakaa nyumbani kwa wazazi hadi leo?