Huu ndio msosi wa bachela

Huu ndio msosi wa bachela

Hahahaha ndiyo ninyi mkitumbukiza samaki mmoja tu kwenye mafuta mnatoa nduki utafikiri mmefungiwa turbo nyuma mnaenda kufunga break nje sasa unakuta mtu ana samaki kumi wote anatakiwa kuwakaanga na kila akitumbukiza samaki mmoja jikoni anakimbia sasa si atakesha
Bachelor unakaangaje samaki? Unanunua washakaangwa na mafuta ya transfoma
 
Kweli hayo majina uliyoniita hapo nimedhibitisha wewe ni mzee kijana.
Maana hata vijana hawaiti majina matamu mamna hii.
Sijui wanakwama wapi?
Wanakwama kwenye tope
 
Duuuuh ushazeeka stafu usituharibie vijana wanaokuchukulia kama role model[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Natafuta vijana wakakamavu watakafuata nyayo za mimi Mandela wa michepuko... nataka niwape semina elekezi ya namna ya kuifanya hii kazi bila kufumaniwa, kushtukiwa wala kuvunja mioyo ya viburudisho pendwa kitandani
 
Hamna.. Nyie ndio mnafanya sisi tunauziwa mitungi iliyochakaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi huwa narudisha mtungi ukiwa safi kabisa, kuna wapo huwa hawasafishia wakitaka kwenda kubadili.

Nilibadilishaga mtungi ulikuwa umechoka sana, umebabuka kwa kutu kutokana na uchafu kugandiana
 
Si ndio hapo sasa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Utalitumia hata kwa kazi hii[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20190921_213425_177.jpeg
 
Hahahaha ndiyo ninyi mkitumbukiza samaki mmoja tu kwenye mafuta mnatoa nduki utafikiri mmefungiwa turbo nyuma mnaenda kufunga break nje sasa unakuta mtu ana samaki kumi wote anatakiwa kuwakaanga na kila akitumbukiza samaki mmoja jikoni anakimbia sasa si atakesha
Akirudi mmoja ameiva, anatumbukiza wa pili anatoka tena nduki... Yule aliyekuwa ameivaa anaaza kuungua huku wa pili aliyemtumbukiza ameivaa, akirudi anatia watatu.... Nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom