Huu ndio msosi wa bachela

Huu ndio msosi wa bachela

Haha sasa unaogopa mafuta tu wakati watu tunaepua masufuria jikoni bila vitambaa wala makaratasi[emoji23][emoji23]nimekumbuka kuna ex wangu mmoja niliwahi kumkuta kwake anahamisha mikaa ya moto kwa viganja kutoka kwenye jiko moja kwenda jiko jingine nikasema subhanallah[emoji2296][emoji2296]sina mtu hapa
Yale mafuta yanaweza kuingia machoni!
 
Ghetto live!
20190906_213956.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom