Huu ndio msosi wa bachela

Huu ndio msosi wa bachela

Adha tunazopata mabachela wakati wa kupika, usipime..

mafuta kidogo tu yanakurukia, ugali(hatua ya uji) ukiwa unatokota unaruka unuunguza [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa mwendo huo lazima ujihami na ndio chanzo cha kuchafua jiko
Hahahaha ndiyo ninyi mkitumbukiza samaki mmoja tu kwenye mafuta mnatoa nduki utafikiri mmefungiwa turbo nyuma mnaenda kufunga break nje sasa unakuta mtu ana samaki kumi wote anatakiwa kuwakaanga na kila akitumbukiza samaki mmoja jikoni anakimbia sasa si atakesha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom