Huu ndio msosi wa bachela

Huu ndio msosi wa bachela

IMG_20190729_154111.jpg


Kijana ni kujipenda,mm kwenye kula sijinyimi kabsa ila kuonga huwa nakimbiwa sana na wadada..
 
Mwache dada yangu, umeweza kumpora mume kwa sababu yupo bize ananishuhulikia mambo yangu yakae sawa.
Yakikaa sawa tuu jiandae kuwa single[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah!! Mume mwenyewe Kaboom huyo amchukue tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom