Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,081
- 127,792
Ungekuwa na hiyo jeuri ungeshamrudisha mume niliyekupora
Ungekuwa na hiyo jeuri ungeshamrudisha mume niliyekupora
Kumbe wewe ni mwenyeji.Kama mwenyeji wake, nitakuwa namuonyesha ilipo chumvi, zinapokaa sufuria n.k
kwan ili zilete hiyo shida unahsi dalili ni zipi???[emoji87][emoji87][emoji87] kumbe, mimi nazipenda sana mbona hazijawahi kuniletea hiyo shida
Na upole huu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Hahahahahhahahahahahhaah. Jamani tatizo wewe mkorofi ndio unahisi na mimi hivo hivo.
Sijatetea, najua nilikosea ila nimerekebisha leo kuna tatizo?[emoji23][emoji23] au ilikuwa lazima nirekebishe jana ileile?Bado unatetea boko ulilotoa?!!
Hivi yupi ulinipora?Ungekuwa na hiyo jeuri ungeshamrudisha mume niliyekupora
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama hana tutabeba langu
Aisee huyu si kaka yangu bwanaKumbe wewe ni mwenyeji.
Wivu naona mimi japo ni kwa mbaaaali.
Sie huwa tunaambiana ukweli tu, uongo kwetu mwiko.Ha ha ha kila siku kasoro leo
Sasa utafanya aghairi kuoa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnakula mboga mnalala. Msifanye maisha yawe magumu wakati mapesiiii.
Sufuria ninayo moja na nimepikia maharage [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki akili yako duuuh. Tubebe na sufuria zako maana hizo sufuria zake mimi sizielewi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shauri yako.Fitna ni sehemu ya mwili wako
Unajitoa ufahamu eeh?Hivi yupi ulinipora?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa utafanya aghairi kuoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hataki sasa dada[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kwanini humuonei huruma mwenzio?